We unaumwa kweli, mbona we huachi ajira yako ukajiajiri kama unadhani mazingira yanaruhusu. We unadhani kama tuna mitaji tungetaka kuajiriwa? Unaonekana kama mizee ya ccm inayozeekea madarakani huku ikihimiza ajira binafsi wakati yenyewe haendi huko.