Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

Maandamano ya kupinga mauaji ya wayahudi kwenye sherehe ya supernova na kijiji kibbutz mbona hayafanyiki huu si unafiki na upendeleo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wayahudi hawaamini biblia ni kitabu kitakatifu,wanachounga mkono kwenye bible ni suala la nchi ya ahadi,wayahudi marekani wameandamana kupinga vurugu za Israel,ipo kila sehemu,au shule hukupita lugha inakupiga chenga?

Wayahudi wanatumia Biblia!;
[emoji116][emoji116]
Vitabu vitano vinavyounda Torati ni Be-reshit, Shemot, Va-yikra, Be-midbar na Devarim, ambavyo katika Biblia ya Kiingereza vinalingana na Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati.

Ushahidi mwingine ni Mungu wako!;
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ لَيْسَتِ النَّصَارَىٰ عَلَىٰ شَيْءٍ وَقَالَتِ النَّصَارَىٰ لَيْسَتِ الْيَهُودُ عَلَىٰ شَيْءٍ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ ۗ كَذَٰلِكَ قَالَ الَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ مِثْلَ قَوْلِهِمْ ۚ فَاللَّهُ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فِيمَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ

[ AL - BAQARA - 113 ]
Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho Biblia. Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana.

Najua humuamini mungu wako dogo[emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa kuhusu shuleni tukuamini ww au mungu wako aliyesema!;
[emoji116][emoji116]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.

waislamu!
[emoji116][emoji116]
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

وَمِنْهُمْ أُمِّيُّونَ لَا يَعْلَمُونَ الْكِتَابَ إِلَّا أَمَانِيَّ وَإِنْ هُمْ إِلَّا يَظُنُّونَ

[ AL - BAQARA - 78 ]
Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo wanao utamani, nao hawana ila ni kudhania tu.
 
Hilo agizo limefahamika zaidi na wasabato wa Tanzania tu.
Unaongeza na idadi ya wanao ufahamu HILO Agizo! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=tJ260F6nHBoHuyu mzee wa miaka 95 myahudi veteran jeshi la Israel anasema hapo, malizeni familia, wanawake na watoto msiache kitu.. naona hii ni mindset ya jews wote, just imagine huyu mzee kipindi yupo jeshini aliua wangapi?

Mzee anakuambia hata kama una jirani yako arab chukua bunduki mmalizie.

Kiuhalisia huyu mzee anazungumza kwa niaba ya taifa la Israel, hakuna usawa katika media lakini naamini Palestinians hadi kuamua kushambulia vile kuna jambo IDF inafanya la kinyama sana kuwahusu.

Ngoja wamalizane.
 
'na wote wanasoma kitabu"
 
Hadi Jews pia wanaandamana wakisema serikali yao haiwakilishi jews wote wale ni Zionists,Israel ndio wanaocontrol media US huko kueneza propaganda
 
Unawatetea wayahud kwa kutumia maandish yaliyoandikwa na wayahud
 
Haya matukio yanaacha ALAMA mbaya, laiti Wayahudi na washirika wao wangelijua..

Kizazi cha binadamu kina tabia ya kujifunza historia na kupima ukweli na propaganda....

Natabiri sana dunia ijayo itazidisha uadui na washir ika wao ...kuliko ilivyokuwa kabla.


Kuna kizazi cha uislamu kitakuja kuota ULAYA kwa kuwa ni nature ya kibinadamu kuuitafuta ukweli ..

Tunapita zama ambazo kuna kambi kubwa ya binadamu imekuwa blinded, ...but hili haliwezi kubaki kizazi na kizazi ...

Yako mambo unaweza kujaji kishabiki ili kufurahisha moyo unavyoenda..lakini nature ina tabia ya kujipambanua whatever nguvu kubwa ukitumika kubadili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…