Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu
Kama huu ni uchambuzi RIP JamiiForums!
Kutoonekana kwa Tundu Lissu hadharani kunaleta pengo la kisiasa ambalo linaweza kuwafanya baadhi ya wafuasi wake kuhisi athari ya kutokuwepo kwake.
Viti vyaanza kuwa vya moto kwa watekaji, watesaji na wauwaji
Vilevile kumuinua Freeman Mbowe kama kiongozi wa mbele wa maandamano na harakati za kisiasa.
Tutafika tu...wasiojulikana na wawezeshaji wao nao taratibu watajulikana!
 
Mkuu Polisi walikesha nyumbani kwa Lissu na kumkamata asubuhi, asingeweza kuja kwenye maandamano.
 

Andiko refu na la hovyo
 
kilaza ktk ubora wako
 
Akili yako unaijua wewe mwenyewe na anayekutuma.
Viongozi wa CHADEMA hawafanyi kazi kwa Kushindana!
 
Nashukuru kwa muda wako kuchangia mada yangu. Bahati mbaya umemiss point yangu. Theme yangu ni mnyukano wa ndani ya CHADEMA mintarafu Nafasi ya kugombea urais.
Mwishoni nimeweka neno kwenye nukuu. Mbowe amesuka mwenyewe hii mpango au amesaidiwa? Najua sana Lissu amekamatiwa nyumbani kwake. Unadhani Mbowe asingeweza kukamatwa kabla hajafika Magomeni? Alipokamatwa Magomeni aliruhusiwa kuongea na kuonekana anashiriki maandamano.

Kwa jana Mbowe alikuwa mstari wa mbele na familia yake. Lissu hakuonekana. Hiyo inamuimarisha Mbowe kuliko Lissu..........
 
Chadema imefanikiwa sana hapa. Imeiexpose Serikali kwamba yenyewe ndo inahusika na utekaji na uuaji, imewaandamanisha Polisi na kuilazimisha Serikali itumie fedha unnecessarily (kulipa posho za wale choka mbaya wazuia maandamano).
 
Huna hulijualo wewe ,hakuna kinachofanyika ndani ya chadema kwa bahati mbaya ,every move applied by Chadema are calculated Bro .

Hona sasa machawa mlivyomuaribia uyu mama ,daily mpeleka chaka , mpaka mda huu yote yale amejitahidi kujibland as a president ,yameyeyuka.

Ningepata fulsa ya kuonana nae live , yapo maneno kumi tu ningemshauri ,then angekuja nishukuru badae , maana nimeanza muonea huruma uyu mama , ngoja siku 47 zipite
 
Of course, that is how you look at it. Lakini pia Lissu amekuwa mstari wa mbele katika kukipigania chama 'unreservedly'. Amefanya mahojiano na watu mbalimbali, na hakuonyesha chembe yoyote ya kurudi nyuma na hata comments nyingi ambazo nimezisoma kwenye mtandao wa X zina'reflect' effort wanayoweka katika kukitumikia chama chao. Na yasingetokea yaliyotokea jana, na kutokana pia alivyoshiriki kule Mbeya na kukamatwa, na katika matukio mengine hata kabla ya Mbeya, obviously watu wanaofuatilia all this, including wanachama wao, wanajua both Mbowe na Lissu ni wapambanaji. This is what I gather from different discussions. Hivyo, referring to yesterday's incident, according to the views of different stakeholders, all those who were arrested yesterday na wengine pia, ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kushiriki kwa kuonekana, walimiminiwa sifa na bado wanaendelea kumiminiwa sifa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chao. This is from the point of view of the people I listened to from tangu maandalizi yao yaanze hadi saa 6 na nusu hivi usiku. Haya ni ya nje na ya ndani mwao anajua Mungu wao.
 
Am consoled na confession yako kuwa hayo ni ya nje na ya ndani ukamuachia Mungu. Mimi najaribu kuassemble ya nje na kukupa glimpse ya hayo ya Ndani........ With all honesty, kuna power struggle kubwa sana. Obvious, Lissu ana Charisma kubwa ya kupendwa na wanachama wa Chadema ambao wengi ni radical, Ila Mbowe anatumia Fedha na structure ya Chama kumcontrol Lissu na kumanipulate aonekane yuko Mbele akimnyima fedha na sapoti ya Chama mpaka akaenda kuomba hela CCM ndo akamudu kununua gari.
 
Mimi nisiyoyajua, kwa kufuata maadili yangu binafsi na yale nilivyojifunza miaka nenda rudi na dhamiri yangu, inanifanya nisiweze kutia neno lolote kuhusu mambo ya ndani ya chama. Kama hayo unavyosema ndivyo yalivyo, still kwa kutumia kanuni ya Rene Descartes (methodical doubt) bado ninaya'subject' kwenye hii kanuni mpaka nijiridhishe mwenyewe au niwe na justification ya kuamini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…