nyie andamaneni tu majembe huku SAUT wanafunzi ni waoga hakuna.
Nashauri magamba wamtume lusinde mbunge wa mtera akatulize munkari wa wanafunzi niliyapenda sana mashahiri yakeHivi sasa mji wa Iringa unazizima
kwa maandamano ya wanachuo
kikuu kishiriki cha Mkwawa
kwenda kwa mkuu wa mkoa kisa
hawajaingiziwa fedha zao,HII NI
HAKI KWELI WAKATI MAMILIONI YA
KODI ZETU YANALIWA NA
WACHACHE SERIKALINI?