Maandamano makubwa chuo kikuu Mkwawa

Maandamano makubwa chuo kikuu Mkwawa

nyie andamaneni tu majembe huku SAUT wanafunzi ni waoga hakuna.

OOOOOOh poleni sana kwani hata watoto hawafanani tabia ila kwa bahati mbaya SAUT kama ni mojwapo wa watoto basi yeye ana mtindio wa ubongo ni kuvumilia tu kama ndo hali yenyewe
 
Hivi sasa mji wa Iringa unazizima
kwa maandamano ya wanachuo
kikuu kishiriki cha Mkwawa
kwenda kwa mkuu wa mkoa kisa
hawajaingiziwa fedha zao,HII NI
HAKI KWELI WAKATI MAMILIONI YA
KODI ZETU YANALIWA NA
WACHACHE SERIKALINI?
Nashauri magamba wamtume lusinde mbunge wa mtera akatulize munkari wa wanafunzi niliyapenda sana mashahiri yake
 
Kutokana na Mawaziri walivyo na hari kwenye matumbo yao naona hata washawasha leo zitakuwa zimepoa.
 
na wale ambao hawa mkopo vp watafanyeje kwan mkopo wenyewe wanatoa kwa kujuana kama mke wa jmakambako
 
Mzee musolini "Kristu"sema "tumaini letu" sasa toka lini mapadre na masister wakaandamana?? Maana SAUT ni wamejaa hao tu. Kuna nini tena??
 
Mkuu wa mkoa kashafika chuo. Anatembelea departments.
Wanachuo bado tupo na njaa zetu. Tumejikusanya viungani na njaa ni kali mnooo.
Tunamsubiri Dr. Ishengoma aje ongea.
 
Back
Top Bottom