27 July 2024
London, Uingereza
MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024
Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson anataka raia wa Uingereza walinde kwa wivu utamaduni wao, na mila bila kutetereka akidai wanasiasa wanataka kuua urithi wa asili ya Waingereza
View: https://m.youtube.com/watch?v=2ZxWap96B18
Maandamano hayo ya maelfu ya watu yalikuwa ya amani, ingawa wakati fulani kundi dogo linalopiga waandamaji wenye msimamo mkali dhidi ya wahamiaji kupaza sauti dhidi ya maelfu ya waandamaji wanaomuunga mkono Tommy Robinson.
Polisi wa jiji la London wanakisia watu kiasi ya 10,000 walijitokeza huku wamebeba bendera zinazoashiria historia ndefu ya dola la Uingereza, huku wengine wakibeba bendera zenye jina la Trump n.k