Maandamano Makubwa Jijini London

Maandamano Makubwa Jijini London

Washachelewa,France tiari,uk,,,, loading.........
20240710_192806.jpg
 
27 July 2024
London, Uingereza

MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024
View attachment 3054505
Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson anataka raia wa Uingereza walinde kwa wivu utamaduni wao, na mila bila kutetereka akidai wanasiasa wanataka kuua urithi wa asili ya Waingereza

View: https://m.youtube.com/watch?v=2ZxWap96B18
Maandamano hayo ya maelfu ya watu yalikuwa ya amani, ingawa wakati fulani kundi dogo linalopiga waandamaji wenye msimamo mkali dhidi ya wahamiaji kupaza sauti dhidi ya maelfu ya waandamaji wanaomuunga mkono Tommy Robinson.

Polisi wa jiji la London wanakisia watu kiasi ya 10,000 walijitokeza huku wamebeba bendera zinazoashiria historia ndefu ya dola la Uingereza, huku wengine wakibeba bendera zenye jina la Trump n.k

Kwani ushoga ulikuwa Mila yao?
 
W

Walivoaribu Mila zetu na kutuletea kampeni za ushoga ? Manina hawa na manina wabongo wanaowasapoti
 
Mimi natamani Waafrika wote na Waarabu wote tungeandamani kwenda US na Ulaya.
US na Ulaya ndiyo waliopora raslimali zetu kutoka Africa na kutuacha maskini!
US na Ulaya ndiyo zimepiga kwa mabomu nchi za Kiarabu na kuharibu nchi zao kwa vita!
US na Ulaya ndiyo zimeua Utamaduni wa Mataifa mbali mbali duniani kwa kutuletea utamaduni wa hovyo kabisa na wa kishenzi mf.Ushoga,Usagaji,nk
Kwa hiyo ni zamu yetu kuhamia huko kufuata Raslimali zetu! Ni haki ya Waarabu kwenda kuanzisha miskiti huko.
Aisee! Wahamiaji wamekuwa Mwiba huko!
Kuna machoko ya kiafrica ety yanaona wazungu wako sahihi yaani kweli sie ni manyani
 
Wao wameharibu Mila ngapi duniani!?..wamepora ardhi ngapi!?.. Australia,new Zealand,USA,na huko Argentina wamepora visiwa wakidai ni vyao maili elfu 8 toka kwao,walienda kwa watu Sasa watu wanaenda kwao
 
Ndio wakimbizi warudishwe kwao hasa hao waarabu kwanini wasiende uarabuni

USSR
Na hao wamagharibi waondoke uarabuni kwani nani anayemuingilia mwenzake, usa na uk wameua watu wengi sana middle east hujui kwamba marekani kaiingilia kijeshi ,iraq, libya, afghanistan, na sasa syria na hayo machafuko aliyosababisha ndio maana ana moral obligation ya kuwalinda civilians na western world wanalifahamu hilo ndio maana wanawachukua hadi leo na unajua kwamba rwanda bill imepigwa chini na new prime minister, na wanasupport netanyahu akamtwe tu na icc
 
Ni hatari

Wakimbizi sasa hivi wana wakati mgumu sana ulaya hasa kutoka uarabuni.

Wazungu hawana shida na wakimbizi sema wakimbizi wa kiarabu ndio wameleta shida, wanataka kuingiza utamaduni wao ulaya .
 
Ni hatari

Wakimbizi sasa hivi wana wakati mgumu sana ulaya hasa kutoka uarabuni.

Wazungu hawana shida na wakimbizi sema wakimbizi wa kiarabu ndio wameleta shida, wanataka kuingiza utamaduni wao ulaya .
Mwarabu sio mtu mweupe,asili ya muarabu ni mweusi,na waarabu weusi wapo nchi za kiarabu.Hata kwenye kisiwa cha scotra,wapo wengi tu,kisiwa hiki kiko Yemen.Hao waliopo nchi za ulaya,unaowaita ni warabu,ni mchanyiko wa wazungu na waarabu weusi.Watumwa wanawake wa kutoka ulaya ya mashariki,na waarabu weusi,ndio wakspatikana huo uzao wa weupe,mnaowaita waarabu,hao ni mchanganyiko wa waarabu weusi(waarabu wa asili) na wazungu,kwa hiyo hao wakimbizi,wako Ulaya,kwenye asili ya bibi zao.
 
Ndio wakimbizi warudishwe kwao hasa hao waarabu kwanini wasiende uarabuni

USSR
Muarabu sio mtu mweupe,mwarabu ni.mweusi,hao unaowaona weupe ni mchanyiko wa watumwa wazungu,wa mashariki ya ulaya,,wanawake wa kizungu,wakaolewa na waarabu weusi(waarabu wa asili),ndio wakazaliwa hao mnaowaita waarabu.Waarabu weusi(waararabu wa asili),wapo nchi za kiarabu,kuna kisiwa kinaitwa Scotra,kiko Yemen,hawa hawakuoana na wazungu,wamebaki ni waarabu wa asili,hawa wakimbizi wako ulaya,ndio asili ya bibi na babu zao.Hakuna muarabu mweusi(mwarabu wa asili),aliyekimbia nchi zao.
 
Back
Top Bottom