MK254 na wewe Ritz mjengewe masanamu pale Mkapa Stadium maana 24/7 ni habari za vita tu kama maroboti vileWanaukumbi.
Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha…
Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai.
View: https://youtu.be/A6YukPZlQ74?si=KZDhuQ9AGJTt7eFN
Toa uharo unaleta mfano gani wewe vita vya Uganda navyo ni vita😂 wanajeshi wanavuka mto kwa miguu wanafika salama angalia Gaza Israel ana kila kitu kashindwa kuvuka eneo dogo tu kama Kigamboni.Kilichotokea sio kitu cha ajabu kwenye vita, ni aibu ya middle class ya kizuzu yenye uoga mkubwa kuyajua ya nje kuliko yetu wenyewe, vita ya Tanzania vs uganda, jeshi letu pia lilifanya error tena kubwa kuliko hili,kule Musoma tulizipiga ndege zetu wenyewe!,tukapoteza marubani wetu na ndege (jet fighter ni gharama kubwa,to buy it n maintenance yake),uzuzu wa seniors officer's wetu wakasema zile ndege zinasafiri kwa speed kubwa, means zimeruka kutoka ngerengere hadi musoma kwa kasi kubwa kuliko mawasiliano ya simu!,wapi movement order ambayo ndio inatangulia kabla?,upepo utakapo kuja kubadilika ukweli wote utakua exposed nchi hii
Soma hii….Kweli Israel nchi ina demokrasia na uhuru ingekuwa nchi za kidikteta Iran au Saudi Arabia au uarabuni kokote waandamanaji wangepigwa risasi za moto na kunyongwa.
Soma hii….
Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.
Our hearts are broken.
May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.
Walikuwa wameishakataa kama waliwapiga risasi mateka wao walisema wameokota maiti😂
Hamas ndiyo wameanza kusema ikabidi wakubali.
Ritz kaka yangu nilikuuliza swali huyo mwamba jamaa zombie kwenye avatar picha Yako naye pia ni muislamu?Kabla kustkukiwa jeshi la Israel lilitaka kuwasingia Hamas wakasema wameokota miili😂
Our forces recovered the bodies of Israeli hostages, Eden Zakaria and Staff Sergeant Major Ziv Dado from the Gaza Strip and brought them back to Israel after an operation by the IDF Special Forces.
Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.
Our hearts are broken.
May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.