Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

Wanaukumbi.

Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha…
Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai.

View: https://youtu.be/A6YukPZlQ74?si=KZDhuQ9AGJTt7eFN

MK254 na wewe Ritz mjengewe masanamu pale Mkapa Stadium maana 24/7 ni habari za vita tu kama maroboti vile
 
Kabla kustkukiwa jeshi la Israel lilitaka kuwasingia Hamas wakasema wameokota miili😂
Our forces recovered the bodies of Israeli hostages, Eden Zakaria and Staff Sergeant Major Ziv Dado from the Gaza Strip and brought them back to Israel after an operation by the IDF Special Forces.

Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.

Our hearts are broken.

May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.
 
Attachments

  • IMG_8207.jpeg
    IMG_8207.jpeg
    45.8 KB · Views: 5
Kilichotokea sio kitu cha ajabu kwenye vita, ni aibu ya middle class ya kizuzu yenye uoga mkubwa kuyajua ya nje kuliko yetu wenyewe, vita ya Tanzania vs uganda, jeshi letu pia lilifanya error tena kubwa kuliko hili,kule Musoma tulizipiga ndege zetu wenyewe!,tukapoteza marubani wetu na ndege (jet fighter ni gharama kubwa,to buy it n maintenance yake),uzuzu wa seniors officer's wetu wakasema zile ndege zinasafiri kwa speed kubwa, means zimeruka kutoka ngerengere hadi musoma kwa kasi kubwa kuliko mawasiliano ya simu!,wapi movement order ambayo ndio inatangulia kabla?,upepo utakapo kuja kubadilika ukweli wote utakua exposed nchi hii
 
Toa uharo unaleta mfano gani wewe vita vya Uganda navyo ni vita😂 wanajeshi wanavuka mto kwa miguu wanafika salama angalia Gaza Israel ana kila kitu kashindwa kuvuka eneo dogo tu kama Kigamboni.
 
Kweli Israel nchi ina demokrasia na uhuru ingekuwa nchi za kidikteta Iran au Saudi Arabia au uarabuni kokote waandamanaji wangepigwa risasi za moto na kunyongwa.
 
Nashangaa wanafanya maandamano wakati wametulia wanajeshi wakiwa kazini.
 
Kweli Israel nchi ina demokrasia na uhuru ingekuwa nchi za kidikteta Iran au Saudi Arabia au uarabuni kokote waandamanaji wangepigwa risasi za moto na kunyongwa.
Soma hii….

Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.

Our hearts are broken.

May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.

Walikuwa wameishakataa kama waliwapiga risasi mateka wao walisema wameokota maiti😂

Hamas ndiyo wameanza kusema ikabidi wakubali.
 
Attachments

  • IMG_7439.jpeg
    IMG_7439.jpeg
    28.2 KB · Views: 4
Soma hii….

Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.

Our hearts are broken.

May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.

Walikuwa wameishakataa kama waliwapiga risasi mateka wao walisema wameokota maiti😂

Hamas ndiyo wameanza kusema ikabidi wakubali.
 
Attachments

  • Screenshot_20231215-201312_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20231215-201312_WhatsAppBusiness.jpg
    128.9 KB · Views: 4
Kabla kustkukiwa jeshi la Israel lilitaka kuwasingia Hamas wakasema wameokota miili😂
Our forces recovered the bodies of Israeli hostages, Eden Zakaria and Staff Sergeant Major Ziv Dado from the Gaza Strip and brought them back to Israel after an operation by the IDF Special Forces.

Eden (27) was taken hostage by Hamas terrorists from the Nova Music Festival and Ziv (36) was taken hostage and fell while serving as a logistics manager in the 51st battalion.

Our hearts are broken.

May the memory of Eden and Staff Sergeant Major Dado be a blessing.
Ritz kaka yangu nilikuuliza swali huyo mwamba jamaa zombie kwenye avatar picha Yako naye pia ni muislamu?
 
🔴🇮🇱 Vyombo vya habari vya Israeli:
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa "Waisraeli" 3 waliouawa na jeshi la "Israeli" katika kitongoji cha Shujaiya jana WALIPUNGUA BENDERA NYEUPE walipokuwa wakikaribia jengo ambalo vikosi hivyo viliwekwa. Hata hivyo, askari wa jeshi la "Israeli" walifyatua risasi baada ya kuwatambua kama watu wenye uadui, na kusababisha jeraha la mara moja la 2. Wa tatu, aliyejeruhiwa, alikimbilia ndani ya jengo, kisha akaibuka tena akipiga mayowe kwa Kiebrania, "Tuokoe." Hata hivyo, jeshi la "Israeli" lilianza tena kufyatua risasi na kumuua.
 
Back
Top Bottom