Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

Ritz kaka yangu nilikuuliza swali huyo mwamba jamaa zombie kwenye avatar picha Yako naye pia ni muislamu?
Na Mimi napenda kufahamu huyo kichaa wa kwenye avatar yako ni wewe ?maana ukitazama avatar yako inajulisha matatizo aliyonayo huyo mtu kichwani.
 
Israel haina wanajeshi inamiliki Wanamgambo wasio na mafunzo Bora hata SUMA JKT sasa Hamas wamewaachia mateka wakiyahudi magaidi wa IDF inaamua kuwaua raia wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Spokesperson for Al-Qassam Brigades, Abu Ubaida: The enemy continues to gamble with the lives of its captured soldiers in the hands of the resistance, showing no regard for their families' feelings. Yesterday, they deliberately executed three of them, choosing to kill them rather than release them
 
Na Mimi napenda kufahamu huyo kichaa wa kwenye avatar yako ni wewe ?maana ukitazama avatar yako inajulisha matatizo aliyonayo huyo mtu kichwani.
Haki ya nani Adriz mtu wangu unavituko kuniliko. Hahaaha
 
Kila mtu wanayemuona wanahisi ni hamasi hii ni aina ya uoga ulipitlilza kwa jeshi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakati huo huo IDF ina Wanamgambo wazembe upo uwanja wa vita unalala unakoroma mchana kweupe hata kuji cover wameshindwa wamejianika kama wapo mnadani kilichokuta ni shaba za kitandani toka Kwa Wapiganaji wa Hamas

[emoji1193][emoji1134][emoji599][emoji845] BREAKING: In few moments, scenes of what Al-Qassam camera monitored during the storming of a gathering of occupation soldiers east of juhr Al-Deek in the central Gaza Strip yesterday.

On Al Jazeera News Channel
 
Watoto wadgo hawaπŸ˜‚

Walivyokuwa wajinga wanafunga tent wanalala huku wanachezea laptop kilochotokea Natanyahu na wenzake ni msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…