Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020.
Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan yaliwakushanya watu zaidi ya elfu kumi kwenye jiji la Rabat.
Sababu ya kuitishwa upya kwa maandamano hayo na kuongezeka idadi ya waandamanaji ni kutokana na kushuhudiwa kwa madhila zaidi ya wapalestina kutokana na mashambulizi yanayofanywa na Israel na hasa vifo kwa ndugu zao hao wa Kipalestina.
Nchi ya Morocco ndiyo inayopakana zaidi na mfereji huo wa Gibraltar na meli huwa zinapita masafa mafupi sana kutoka ufukwe wa bahari inayotenganisha nchi hiyo na Spain.