KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Mkuu, kwakuwa nilikuwa najua sina kosa na the only thing wanaangalia picha, sikuona haja yakuvutana sanaKwanini ukakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwakuwa nilikuwa najua sina kosa na the only thing wanaangalia picha, sikuona haja yakuvutana sanaKwanini ukakubali?
Videos from Iran filter online, revealing scope of bloody crackdownTuna omba ushahidi wowote ili kudhibitisha hicho unacho kisema.
Una tuletea link ambayo hata mm naweza kutengeneza.
Hahahahahahaaaaaaaaaa, Leo nimepita ubalozi wa Ufaransa pale opposite na Red cross, sasa nikawa nimepokea simu vibaya wakadhani napiga picha, weeee, nimeitwa na ka mlinzi flani yaani nimehojiwa na simu ikapekuliwa nikajua kweli hii nchi wako stable, kumbe tumbafu tu huko kwao kimeshanuka, shwaini hao....
Ndiyo mkuu, nimekuwa weak, zamu yako ikifika utaniwakilishaUmekua weak sana mkuu hapa ni kwetu mm wasingenifanyia namna hio kabisa