πVijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni zao .
Unafanya uhalifu alafu unakimbilia kwenye makazi ya watu wema kujifungia ? Unasababisha madhara kwa watu wasio husika kwann usikimbilie msituni mkapambane uko na police.
Acheni ujingaaa na kufwata mkumbo
Mlisema mnaitaka ikulu ??
Mbeya Kuna ikulu? Arusha kunaikulu? kwenye magari ya mwendokasi kunaikulu?? Takukuru kunaikulu? Tunduma kunaikulu? Kilimanjaro kunaikulu??
Kulikua na maanagani kuharibu biashara za watu na miundombinu kama Nia niikulu ?
Wazazi waambie vijana wenu kwamba vijana wenzao wanatumia mikopo kuendesha biashara zao wawe na huruma waache chuki zisizo na maana hawamu hii hatutawaelewa hatutakubali hasara tena,hatutakubali mtoto wajirani atulaze njaaa ,watafutaji tumekasirishwa na ujinga mliotufanyia
Sinamengiyakusema ila acheni kusapoti watu wanaotaka kuhalalisha uwizi na uharibifu wa Mali za watanzania maskini wanaopambana namikopo benki ilihali familia zao zipate mloo
πππππππππππ
R.I.P. Kwa wote
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni zao .
Unafanya uhalifu alafu unakimbilia kwenye makazi ya watu wema kujifungia ? Unasababisha madhara kwa watu wasio husika kwann usikimbilie msituni mkapambane uko na police.
Acheni ujingaaa na kufwata mkumbo
Mlisema mnaitaka ikulu ??
Mbeya Kuna ikulu? Arusha kunaikulu? kwenye magari ya mwendokasi kunaikulu?? Takukuru kunaikulu? Tunduma kunaikulu? Kilimanjaro kunaikulu??
Kulikua na maanagani kuharibu biashara za watu na miundombinu kama Nia niikulu ?
Wazazi waambie vijana wenu kwamba vijana wenzao wanatumia mikopo kuendesha biashara zao wawe na huruma waache chuki zisizo na maana hawamu hii hatutawaelewa hatutakubali hasara tena,hatutakubali mtoto wajirani atulaze njaaa ,watafutaji tumekasirishwa na ujinga mliotufanyia
Sinamengiyakusema ila acheni kusapoti watu wanaotaka kuhalalisha uwizi na uharibifu wa Mali za watanzania maskini wanaopambana namikopo benki ilihali familia zao zipate mloo
πππππππππππ
R.I.P. Kwa wote
Kwahiyo kwenye biashara zetu ndiomlikua mnamtafuta raisiTanzania hakuna rais,nao ni batili
Watanzania maskini mmepata wapi mali na mnakuaje na mali??Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni zao .
Unafanya uhalifu alafu unakimbilia kwenye makazi ya watu wema kujifungia ? Unasababisha madhara kwa watu wasio husika kwann usikimbilie msituni mkapambane uko na police.
Acheni ujingaaa na kufwata mkumbo
Mlisema mnaitaka ikulu ??
Mbeya Kuna ikulu? Arusha kunaikulu? kwenye magari ya mwendokasi kunaikulu?? Takukuru kunaikulu? Tunduma kunaikulu? Kilimanjaro kunaikulu??
Kulikua na maanagani kuharibu biashara za watu na miundombinu kama Nia niikulu ?
Wazazi waambie vijana wenu kwamba vijana wenzao wanatumia mikopo kuendesha biashara zao wawe na huruma waache chuki zisizo na maana hawamu hii hatutawaelewa hatutakubali hasara tena,hatutakubali mtoto wajirani atulaze njaaa ,watafutaji tumekasirishwa na ujinga mliotufanyia
Sinamengiyakusema ila acheni kusapoti watu wanaotaka kuhalalisha uwizi na uharibifu wa Mali za watanzania maskini wanaopambana namikopo benki ilihali familia zao zipate mloo
πππππππππππ
R.I.P. Kwa wote
Broo watu tumeanza kwenye saidia fundi Hadi tukapata vianzio Leo hii mtuu anakuja kweli kunivunjia ka hardware changu anapakua kilakitu kweli nihalali ? Duhh inaumiza sana πWatanzania maskini mmepata wapi mali na mnakuaje na mali??
Sawa njooni tena kama unaakili kwanini msipange maandamano yenu binafsi mnadandia yawatuHuna lolote nyumbu wa ccm wewe.
Kuna haki nyingine hatutazipata hapa duniani hata ufanyeje, tuishi tukivumiliana. Fikiria kila mtu akiandamana kudai haki yake nchi itakalika kweli.!?Kweli maandamano ni batili β
Ila nini tatizo hadi watu waandamane, wafanye fujo!? Jamii ina shida gani?, Na kama hazitatuliwi watumie njia gani, ikiwa watu wao wanaowasemea wanakamatwa kila kukicha!!!
Hatuzungumzii uharifu hapa, tunazungumzia mauwaji yaliyofanywa na serikali ya mama yenu, kwahiyo unafikiri kuutoa uhai wa mtu usioweza kuludi tena ni sawa na kuharibu mali ambayo unaweza kuitafuta na kuipata tena?Sawa njooni tena kama unaakili kwanini msipange maandamano yenu binafsi mnadandia yawatu
Au mliokua DSM wale walikua wanachoma sheli za watu kwanini walikua wakishachoma wanakimbia wanawaacha wengine? Kwanini walikua wakishavunja maduka nakuiba hawaonekani kwenye maandamano wanakimbia? Acheni kujiingiza kwenye misheni zawatu
Au walioiba simu za nenga kwanini walikimbia jiongezee ukifa mzigo nikwafamilia Yako
Kila mtu akiandamana kudai kura yake suluhisho ni kupiga kura huru tu kisha wengi wanapewa na nchi itakalika.Kuna haki nyingine hatutazipata hapa duniani hata ufanyeje, tuishi tukivumiliana. Fikiria kila mtu akiandamana kudai haki yake nchi itakalika kweli.!?
Tulikutuma upange kwenye fremu za CCM?Yani sahivi hii vita police wakae pembeni tuwafundishe adabu wezi wanaojifanya wanaandamana
π€£π€£π€£Kwahiyo kwenye biashara zetu ndiomlikua mnamtafuta raisi