Maandamano ni batili, vijana tusitumike

Broo watu tumeanza kwenye saidia fundi Hadi tukapata vianzio Leo hii mtuu anakuja kweli kunivunjia ka hardware changu anapakua kilakitu kweli nihalali ? Duhh inaumiza sana 😭
Umesaidia fundi wapi? Hujaiba wewe ndio ukafungua hiko ki-hardware hujatapeli wewe kwa biashara za kitapeli chocho kwa chocho?
 
Ungeanza kuwaambia viongozi wawasikilize wananchi wote
 
Maandamano ni batili? Imeandikwa wapi sheria gani na katiba ipi?
 
Haki haiombwi
Haki hupwmbaniwa
endeleen kuipga serkali pesa na kuja na maandishi hewa
Una uhakika vijana wanaitaka ikulu?
Haki ndo unaipambania kwa kuvunja maduka ya watu na kuiba?
 
huo wizi unazidi wizi wa kura mil31 na kukatisha maisha ya maelfu ya watanganyika
 
Wewe ni wa kuliwa kichwa.
 
Umesaidia fundi wapi? Hujaiba wewe ndio ukafungua hiko ki-hardware hujatapeli wewe kwa biashara za kitapeli chocho kwa chocho?
Unaonekana una hali ngumu sana kimaisha, hata mtu mwenye kiduka cha hardware unamuona ni mwizi.....
 
We ***** Endelea kubinua mkVndu hapo kwenye kochi LA shemeji yako anayekufuga Kama nguruwe , KvmA wewe
 
Ila tuendelee kuwasaport watekaji na wauaji
 
Vituko kama hivi nikiwa zangu kule ulaya ntakua nacheka sana 🀣🀣🀣🀣
 
Broo watu tumeanza kwenye saidia fundi Hadi tukapata vianzio Leo hii mtuu anakuja kweli kunivunjia ka hardware changu anapakua kilakitu kweli nihalali ? Duhh inaumiza sana 😭
Pole sana mkuu
 
We Mjinga, Maandamano ndio njia pekee ya KUONDOSHA huu utawala BATILI.
 
Hatujawafikia bado, ila tunaenda mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…