Binafsi nitakuwa mbeyaaWazalendo,
Ukombozi wa nchi yetu unakaribia.
Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi.
Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa.
Huko mikoani na wilayani wabaki watu Wachache kwa ajili ya kufanya matukio ya hapa na pale na kuwa keep polisi busy.
Watu wengi waende kwenye majiji makuu kabla ya siku ili kuongeza nguvu kwenye makoko hayo.
Hilo ni pendekezo langu.
Yani ni changamoto sanaInaonekana hata yalipofanyika,shughuli za kiuchumi zitaanza kusimama siku kadhaa kabla ya tarehe hiyo ya maandamano.
Ndege zitaacha kutua,watalii wataacha kuingia nchini,uingizaji mizigo bandarini utasimama nk
Atuue tu tushazoea kufa.Nasikia Samia anajiimarisha kuua tena.
Kama kuna kiongozi anaye panga vituo vya kazi naomba nipangiwe mkoa haraka siku zimeshaenda sanaWazalendo,
Ukombozi wa nchi yetu unakaribia.
Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi.
Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa.
Huko mikoani na wilayani wabaki watu Wachache kwa ajili ya kufanya matukio ya hapa na pale na kuwa keep polisi busy.
Watu wengi waende kwenye majiji makuu kabla ya siku ili kuongeza nguvu kwenye makoko hayo.
Hilo ni pendekezo langu.
Wee utaanzia wapiWazalendo,

Nasikia Samia anajiimarisha kuua tena.
Huo ni umbea, mbinu za kijinga sana za kuwatishia watu wasishiriki.Nasikia Samia anajiimarisha kuua tena.
10/12 tusisikie watu wakijiliza,wakiomba UN iingilie,wakidai waliokamatwa ni watoto wadogo waachiweas expect, hao ndio ccm. Kama kuna watu wanahisi wataapunguza speed wanajidanganya. Labda wazidishe.