mlitegemea muibe na kuwakatili wapenda mabadiliko na watu wote waseme amen? Mmeliwa na huo ni mwanzo tu.
Tatizo mmechelewa sana, na sijui kwa nini mmeshindwa kujifunza kwa tokea 1992... wakati mkijiandaa na kuandamana sie tunashereheka na Ushindi!Mlitegemea muibe na kuwakatili wapenda mabadiliko na watu wote waseme amen? Mmeliwa na huo ni mwanzo tu.
tupatieni vibali maana mmeziti kwa vibali, barua za kutunga kuibiwa wakati huna cha kuibiwa, wezi wakubwa tunasubiri ndoa ya rais wenu,, tutekeleze ilani ya ccm kwa maendeleo, kidumu ccm
Ni kiherehere chako!Mimi nakataa Kikwete siyo chaguo la Watanzania
1.Sikumpigia kura yangu. Ndugu zangu wa karibu na marafiki zangu wengi hawakuwa wakimtaka na walikiri kutompigia kura
Tatizo mmechelewa sana, na sijui kwa nini mmeshindwa kujifunza kwa tokea 1992... wakati mkijiandaa na kuandamana sie tunashereheka na Ushindi!
akha! be raisi wako wewe baba yako na mama yako mi wala mi raisi wangu ni slaa Dr wa ukweli
uchaguzi umekwisha tugange yajayo
kikwete rais wetu wote..............................................
uchaguzi umekwisha tugange yajayo
kikwete rais wetu wote..............................................
Kwa hali halisi iliyotokea mwaka huu, Upinzani utakuwa na hali ngumu kufikia 2015, kwani CCM sio chama cha kubweteka!Of course mwizi siku zake 40..zenu bado hazijatimia...ila karibia zitafika 40..soon
Bado tusisahau suala la Kujitegemea, ni vema kila mwananchi kujua hili kwani ndio njia sahihi ya kufikia malengo binafsi kwa kila mtanzania. Aidha kwa upande mwingine huu ni wakati mzuri kwa wananchi kushiriki moja kwa moja katika kutatua matatizo yao ya msingi.Hongereni! Najua utetezi wenu si kwa ajili ya nafsi zenu bali ni juu ya masikini, wajane, watoto, walemavu, walalahoi na wote wasiojiweza in Tanzania, ambao kwa miaka 50 hawana mwelekeo wala matumaini ya kutokana na hali zao.
Rais wanguni dr slaa
uchaguzi umekwisha tugange yajayo
kikwete rais wetu wote..............................................
Mimi nakataa Kikwete siyo chaguo la Watanzania
1. Sikumpigia kura yangu. Ndugu zangu wa karibu na marafiki zangu wengi hawakuwa wakimtaka na walikiri kutompigia kura
2. Kachaguliwa na Watanzania 5,276,827 (Zikiwepo na kura za maluani - uchakachuaji) kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 40
3 Wananchi waliojiandikisha zaidi ya 11,511,020 ambao ni asilimia 57.16% hawakupiga kupiga kura kutokana na either kuhofia kura zao kuchakachuliwa au mfumo mbovu uliowekwa ili kupunguza kura za wapinzani mfano, kuzuia raia kupiga kura ya raisi sehemu yoyote ya nchi wakati anachaguliwa raisi wa nchi nzima au kufunga vyuo vya elimu ya juu na mashule.
4. Kachaguliwa na wananchi wengi walio vijijini kutokana na uelewa mdogo.
5. Amesaidiwa sana na vyombo vya ulinzi na usalama na taasisi za serikali vikiwemo vyombo vya habari vya serikali kufanikisha matakwa yake na familia yake
6. Katumia gharama kubwa sana katika kampeni (Mabango kutoka Canada, magari ya kifahari nk. wakati Watanzania wanaishi maisha ya dhiki kubwa
7. Ahadi zake ni nyingi na amezitoa nje ya Ilani kama alivyothibitisha meneja wa kampeni zake na yeye mwenyewe alisema nyingine zilikuwa za papo hapo.
8. Miaka mingine mitano ya Wadanganyika kudharaulika na kunyanyaswa na mafisadi wakati president akijikomba kwa wale Nyerere aliosema - nanukuu "Mijitu hii lengo wao ni kututawala, kwa nini tunawaongezea uwezo wa kututawala?'' mwisho wa kunukuu
Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%
Kura zilizoharibika = 2.64%
Mgawanyo wa kura ni hivi:
APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17,482 = 0.20%
UPDP: 13,176 = 0.15%
Obama will be leaving for India tonight.
He won't be in town.
Mafisadi kama wewe hatuwahitaji washiriki. Tunataka MATAIFA yasikie, sio tu Obama kama ufinyu wa .....yako unavyodhani.Watumwa wakubwa nyie, Oboma ndio baba yenu? Tz ni nchi huru aichaguliwi rais na Marekani. Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi zilivyofanywa na Tume ya Uchaguzi wa Tanzania ambao uligubikwa na wizi na udanganyifu wa hali ya juu katika sehemu na maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kuwa State Department imetoa ridhaa ya maandamano haya ya amani, tunawaomba Watanzania, wanayoipenda Tanzania, sehemu yoyote walipo hapa Washington DC, Maryland, Virginia na Pennsylvania wajitokeze kwa wingi, wake kwa waume, watoto na kumbuka kuja na bendera, mabango, ngoma, zeze na vinubi, Tshirts ili message ifike kwa Presedent Obama.
Tunawaomba watanzania wote waishio Marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279
Umeandika crap.Obama will be leaving for India tonight.
He won't be in town.