Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Code number za Marekani huzijui? I mean country codeTunaomba kibali kopy yake hapa na pia hizo number za simu mbona kama ni mtu kaamua kuzitaja? what if i am calling while I am outside USA-then what is the code number? kama vile sizpati?? na useme ni mobile au residential kamanda? Acheni upigaji as those numbers does not exist guys. Msiwadanganye watu kwani huwa twataka ukweli wa haswa. Nashauri hii thread ifungwe kabisa na MD.
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi zilivyofanywa na Tume ya Uchaguzi wa Tanzania ambao uligubikwa na wizi na udanganyifu wa hali ya juu katika sehemu na maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kuwa State Department imetoa ridhaa ya maandamano haya ya amani, tunawaomba Watanzania, wanayoipenda Tanzania, sehemu yoyote walipo hapa Washington DC, Maryland, Virginia na Pennsylvania wajitokeze kwa wingi, wake kwa waume, watoto na kumbuka kuja na bendera, mabango, ngoma, zeze na vinubi, Tshirts ili message ifike kwa Presedent Obama.
Tunawaomba watanzania wote waishio Marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279
Mbona president wenu alikwenda kunywa chai na obama?Watumwa wakubwa nyie, Oboma ndio baba yenu? Tz ni nchi huru aichaguliwi rais na Marekani. Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.
Ni saa 11 jioni.hivi 10am washington dc time ni saa ngapi bongo
goodlucky mnaandamana kwa waelewa manake huku maandamano hayaruhusiwi labda ya kumpongeza kikwete watendaji wa serikali tunawalipa kwa kodi zetu lakini hawatutumikii sisi wananchi ambao kimsingi ndio tuliowaajiri wanabaki kumlamba miguu kikwete ambaye naye tumempa ajira kama wao inashangaza lakini ndiyo hali halisi hapa bongo :A S angry:
... Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.
Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%Mimi nakataa Kikwete siyo chaguo la Watanzania
1. Sikumpigia kura yangu. Ndugu zangu wa karibu na marafiki zangu wengi hawakuwa wakimtaka na walikiri kutompigia kura
2. Kachaguliwa na Watanzania 5,276,827 (Zikiwepo na kura za maluani - uchakachuaji) kati ya Watanzania zaidi ya Milioni 40
3 Wananchi waliojiandikisha zaidi ya 11,511,020 ambao ni asilimia 57.16% hawakupiga kupiga kura kutokana na either kuhofia kura zao kuchakachuliwa au mfumo mbovu uliowekwa ili kupunguza kura za wapinzani mfano, kuzuia raia kupiga kura ya raisi sehemu yoyote ya nchi wakati anachaguliwa raisi wa nchi nzima au kufunga vyuo vya elimu ya juu na mashule.
4. Kachaguliwa na wananchi wengi walio vijijini kutokana na uelewa mdogo.
5. Amesaidiwa sana na vyombo vya ulinzi na usalama na taasisi za serikali vikiwemo vyombo vya habari vya serikali kufanikisha matakwa yake na familia yake
6. Katumia gharama kubwa sana katika kampeni (Mabango kutoka Canada, magari ya kifahari nk. wakati Watanzania wanaishi maisha ya dhiki kubwa
7. Ahadi zake ni nyingi na amezitoa nje ya Ilani kama alivyothibitisha meneja wa kampeni zake na yeye mwenyewe alisema nyingine zilikuwa za papo hapo.
8. Miaka mingine mitano ya Wadanganyika kudharaulika na kunyanyaswa na mafisadi wakati president akijikomba kwa wale Nyerere aliosema - nanukuu "Mijitu hii lengo wao ni kututawala, kwa nini tunawaongezea uwezo wa kututawala?'' mwisho wa kunukuu
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi zilivyofanywa na Tume ya Uchaguzi wa Tanzania ambao uligubikwa na wizi na udanganyifu wa hali ya juu katika sehemu na maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa kuwa State Department imetoa ridhaa ya maandamano haya ya amani, tunawaomba Watanzania, wanayoipenda Tanzania, sehemu yoyote walipo hapa Washington DC, Maryland, Virginia na Pennsylvania wajitokeze kwa wingi, wake kwa waume, watoto na kumbuka kuja na bendera, mabango, ngoma, zeze na vinubi, Tshirts ili message ifike kwa Presedent Obama.
Tunawaomba watanzania wote waishio Marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279
Jamani maandamano yalikwenda vipi?