Elections 2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

Watumwa wakubwa nyie, Oboma ndio baba yenu? Tz ni nchi huru aichaguliwi rais na Marekani. Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.

"aichaguliwi" kiswahili kinakupiga chenga!!! wonder how you made it there in washington!!? lol
 
Ndugu wa maandamano Washington DC vipi tena jamani au mambo bado?????????????
 


Hongereni sana kwa kuwa na uchungu a nchi yenu,nawatakia maandalizi meme na mfanikishe adhima yenu.tuko pamoja.
 
Aise kusikia maandamano washington nimefurahi sana. Lakini furaha yangu itakamilika kama mtaandamana kweli. Msisahau kupiga picha na kuweka hapa home pf great thinkers. Michuzi unakaribishwa na wewe globu yako ipate vitu vizuri
 
Watumwa wakubwa nyie, Oboma ndio baba yenu? Tz ni nchi huru aichaguliwi rais na Marekani. Mimi niko Washngton na si shiriki kwenye upuuzi wenu.

Punguza spid :bump:ufanye tathmini. Maana baada ya kukutumia CCM itakutupa kama toilet paper. Nchi kwanza chama baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…