Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

Nchi za magharibi zimeendelea kwa kutumia mafuta na makaa ya mawe, leo "wameamka" wanataka sisi tunaotaka kufanya maendeleo kwa kutumia mafuta, gesi na makaa ya mawe kutofanya hivyo ili kuokoa dunia!
kwa afrika hasa Tz na Ug hata mtumie nishati kutoka mwezini umaskini utakuwa palepale
 
kwani huko mara kwenyewe wewe ulipiga kelele. mkishashiba viazi namihogo mautopolo yenu mnasingizia wazungu.

yule profesa chawa wa ccm ndio ripoti gani ile? halafu unataka mzungu ndio akusemee huko ulaya?
 
Wapuuzi wanamtetea kwa hoja kwamba hajatawala nchi yoyote ya afrika, hizi ndizo akili za kinyani kwamba maadam hajatawala afrika basi ni mwema kwetu na mipango yetu yote.

Mwafrika alivyokuwa mwehu anamuunga mkono Russia huwa nawaambia jaribuni kujiweka katika nafasi ya Ukraine Tanzania ndio iwe inapigwa mabomu mfululizo kama tungekuwa hivi tulivyo.

Russia anafanya unyama wa dhahiri kabisa, anapiga mabomu hospitali, anavunja madaraja, anaua watu.
 
kwani huko mara kwenyewe wewe ulipiga kelele. mkishashiba viazi namihogo mautopolo yenu mnasingizia wazungu.

yule profesa chawa wa ccm ndio ripoti gani ile? halafu unataka mzungu ndio akusemee huko ulaya?

Maandamo ya Ufaransa haya kuwepo. Baada ya maandamano ya Ufarana nimetafakari upya haiwezi kuwa concidence kirahisi hivi.
 
Wajinga tu. Ni watu wanaona watapoteza maslahi yao binafsi kwa kujengwa bomba hilo. Nadhani watu hao wako kenya.
Baada ya kushindwa kuwaandamanisha watanzania na waganda kupinga sasa wanakodi vikaragosi huko ulaya kuandamana. Lengo ni kuwaogopesha wawekezaji.
Nadhani mzee museveni anatosha kupambana na hawa vibaraka wasije kumvaa samia akayumba.
Watu kama kina makamba na nappe pia ni hatari kwa chuki zao with anything to do with magufuli.
 
Hii imekaaje!?

Nyang'au awe na uchungu zaidi kuliko wahusika Ug&Tz🤔

Imenikumbusha ule mzozo wa kugombea hilo bomba kati ya Kenya na Tanzania.
 
Na mrusi analivalia njuga hili la Bomba nakumbuka ziara ya Raisi Samia Suluhu Yule kiongozi wa ufaransa alisema Sasa umefika muda wa kufanya biashara na afrika baada ya MAMLUKI WA PUTIN na URUSI kutoweka afrika.
 
Uhakika wa mambo hizi ni manipulative tactics...

Kuna walioko nyuma ya hawa vijana wala sii akili zao na wala siyo kwa maslahi yao.....

Big Corps au Politicians are behind this for a specific agenda.... hapa mchongo ushakamilika na tunachunguliwa kwenye rader to ili tukilega tu wenye agenda yao wanaitimiza....

Mama angalia vizuri usikute kabla hili jalijaanza la wanafunzi timu imeshapangwa mpaka ndani ya serikali zetu for the next move....

The only solution is to be strong and have sound technological base kuepuka mipango hii miovu...
 
Kwahiyo watabeba wao kwenye ndoo kupeleka Bandarini? Eti wasomi. Haya maisha haya
 
Kumbe sisi bado hatujajua umuhimu wa kutunza mazingira yetu badala yake mabeberu ndio wanaujua umuhimu.

Au ni wivu kwa sisi kuja kunufaika na ajira zitakazomwagwa kwenye huo ujenzi...
Mazingira tumekuwa tukiyatunza huku wao wakiyaharibu. Ifike hatua waanze wao kupiga marufuku matumizi yako makubwa ya fossil fuels kabla ya kuangalia mambo yetu!
Alafu mbona Kenya, DRC na Russia ndo wanajitia uchungu??
 
Kwahiyo watabeba wao kwenye ndoo kupeleka Bandarini? Eti wasomi. Haya maisha haya
Hao wanafunzi utakuta wamevaa nguo na vile vile wanatumia bidhaa ambazo uzalishaji wake unazalisha CO2 kwa viwango hatarishi!!
 

Lema na Lissu na CDM walio hapa Tanzania wamepigia kelele sana suala la uchafuzi wa mazingira kule Mkoa wa Mara. Bomba nalo linatumika kuendeleza huo mwangwi wa uchafuzi wa mazingira wa wanaharakati wa Kisiasa. Wenye dhamana ya kutuongoza kuwene macho.
 
Mrusi ndiyo ameandamana au ndiyo ame-instigate hayo maandamano?
Mjumbe hauawi, they only reported what's happening. Nothing less nothing more.
Awe nawe umepata 'kajisababu' ka kumshambulia Mrusi, kumbe nawe si mtu 'mzuri' usisapotiwe[emoji23][emoji23].
 
Mrusi ndiyo ameandamana au ndiyo ame-instigate hayo maandamano?
Mjumbe hauawi, they only reported what's happening. Nothing less nothing more.
Awe nawe umepata 'kajisababu' ka kumshambulia Mrusi, kumbe nawe si mtu 'mzuri' usisapotiwe[emoji23][emoji23].
 
Arusha, Tanzania

3 March 2022

Court hears matter challenging the construction on East Africa Crude Oil Pipeline​





Posted in Press Release
East African Court of Justice, 3rd March, 2022: The East African Court of Justice First Instance Division has adjourned the hearing of Application No. 29 of 2020 seeking a temporary injunction restraining the Governments of Uganda and Tanzania from constructing the Crude Oil Pipeline pending determination of the main case.

The main case (Reference No. 39 of 2020 Center for Food and Adequate Living Rights & 3 Others vs The AG Uganda, Tanzania and Secretary General EAC, challenges a decision to construct an East African Crude Oil Pipeline (EACOP) in the Republic of Uganda and the United Republic of Tanzania.


Before the hearing of the Application started, the Solicitor General of Tanzania, Mr. Gabriel Malata representing the Attorney General, raised a Preliminary Objection (PO) on whether the Court has jurisdiction to hear and determine the matter.

The Court ruled that the issue will be dealt with in the merits of the Reference and deliver a judgment.


The Applicants in the Reference allege that the Crude Oil Pipeline project is alleged to be environmentally untenable and will extend to protected areas in East Africa with undue regard to livelihoods, gender, food security, children, and public health of East Africans.

They further allege that, the Pipeline will pass through areas of settlements, farmlands, and water sources for thousand of indigenous people and there has been no consideration of their rights, which is a violation of the Treaty for the Establishment of the East African Community.

The Applicants are Civil Society Organizations within the region namely, Center for Food and Adequate Living Rights (CEFROHT), African Institute for Energy Governance (AFRICOG), Natural Justices Kenya, and Center for Strategic Litigation Limited.

The matter came before Honourable Justice Yohane Masara (Principal Judge), Justice Dr. Charles Nyawello, Justice Charles Nyachae, Justice Richard Muhumuza, and Justice Richard Wejuli


Source : Court hears matter challenging the construction on East Africa Crude Oil Pipeline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…