Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

Huo ni upuuzi , kama tunapambana na changamoto ya halihewa mbona vita ya Russian na ukrain wanaizamini vifaa,

au vita haipo kwenye uchafuz wa hali ya Hewa maan pande zote mbili zisingepaswa kuuziwa au kupew msaada wa vifaa.
Hayo mabomu yapo live. Ufaransa wanazalisha umeme Kwa vinu vya nuclear, hii ni hujuma, kushinikiza nchi zipige Kura za kulaani Russia. Blackmail!
 
Huyo kijana Omar El Mawi ni mtu hatari sana, anapiga pesa kwa kuandika uongo mwingi huku akijidai anatetea mazingira, Muongo tu. Si angeanza kutetea mazingira yanayochafuliwa Kenya mpaka Kenya inakuwa jangwa kwa kasi kubwa sana.

Huyo ni Mkenya aliyetumwa kwa malipo kufanya kazi hiyo ya kuuchafua huo mradi baada ya Kenya kuukosa. Na sasa kishaona kuna pesa za TOTAL na za Wachina, haziachi. Anapiga kelele anyamazishwe kwa pesa.

Wakenya ni washenzi sana.

Namfananisha akili yake huyo inavyofanya kazi ya kutafuta pesa kwa mtindo kama wa Zitto Kabwe.
 
Kama anaweza kufikia viwango vya unafki wa Zitto Kabwe basi nakuunga mkono huyo ni mtu hatari.
 
Kama anaweza kufikia viwango vya unafki wa Zitto Kabwe basi nakuunga mkono huyo ni mtu hatari.
Huyo ni zaidi ya Zitto Kabwe. Msome tu juu hapo, utanielewa.

Hiki kisa kimenikumbusha wanafiki wawili, Zitto na Lissu, zamani walipigia kelele sana Dhahabu na miradi ya pesa nyingi. Wakanyamazishwa kwa pesa.

Wanafiki wapo wengi.
 
Duh!
 
Mbona Mrusi ana bomba la gesi anasambaza huko Ulaya sijawahi kusikia mambo ya mazingira na sasa hivi kabla ya Vita alikubaliana kujenga Bomba lingine hakuna wanaharakati wala Jumuiya yeyote kupinga..
 
Exactly...!
Competitors funded the demonstration! Kuna harufu ya Kenyans!

Haiwezekani wakawa na uchungu na watu wa East Africa, ni kukosa tenda Tu!

Watuache hatutawauzia mafuta tuone wafaransa watakavyoandamana tena wakitaka mafuta!😀
Sahihi kabisa
 
Nilishasema huu mradi wa wajinga hautafanikiwa. Tutaachwa na madeni makubwa, TOTAL wanajua kabisa siku za petroleum na diesel zimekwisha lakini wanahimiza huu mradi wa hovyo. Najua wengi hamtanielewa.
 
Bora unyama wa urusi kuliko unyama wa marekani.
 
Hii trick imekuwa inatumiwa sana na Russia. Kila nchi za Ulaya wanapotaka ku invest kwenye energy kunatokea maandamano. Wao huko Russia wanawekeza bila bughudha. Sasa Ulaya iko dependent kwenye energy ya Russia. Na sio ajabu RT kuandika hayo.
RT ni mjumbe tu, tukio limetokea ufaransa na sio urusi.
 
Kwaio Tanzania pekee na Afrika ndo kuna Uchafuzi wa Mazingira Mkuu ?Wao ni wabinafsi tu na hizo ni Propaganda tu maana ukiwa Mwafrika kuinuka kwao ni chukizo kwao
 
uwivu unawasumbua kenge hawa..
wanataka kila siku watuone kwenye maboat tukikimbia africa kwenda kwao sababu ya msoto..
neema ndogo tu wanataka kuizuia
dunia ngumu hii..
 
Kumbe sisi bado hatujajua umuhimu wa kutunza mazingira yetu badala yake mabeberu ndio wanaujua umuhimu.

Au ni wivu kwa sisi kuja kunufaika na ajira zitakazomwagwa kwenye huo ujenzi...
Mkuu soma vizuri kampeni hiyo imeanzishwa na Mkenya Omari Elmawi ...

Huyo ndio ana uchungu na Tanzania na Uganda kuliko wenye nchi hizo mbili.
Jamaa bado inawatesa kuukosa huu mradi.

Uzuri mradi huu wa beberu mfaransa na beberu wa mashariki roho ngumu mchina lazima utaendelea tu na kukamilika ikibidi damu zimwagike zitamwagika mradi beberu apige pesa hiki kiwese.
 
Kampeni hii chafu kaanzisha mtu toka Kenya Omar Elmawi ...
Soma viziri maelezo.

Wakenya bado hawajakubali kushindwa.
 
Nchi ngumu sana hii!

Hao RT wanatutafuta nini?
Kampeni imeanzishwa na mtu toka Kenya Omari Elmawi.
Soma melezo vizuri.

Mama aendelee tu kuwafungulia mipaka wakenya ataijua rangi yao halisi.
Bado hawajakubali kuikosa hii dili.
 
Mbona unchanganya mambo mkuu bomba linapingwa na wa faransa warusi wemeingia vipi ,kama lingekuwa na manufaa kwa ulaya na pigo kwa urusi basi ulaya wangelichangamkia haraka.

RT imeripoti tu habari
 
Bro si ni sawa na yale ya kuzuia barabara ipite Serengeti? Michezo michafu. Usiposhtukia wewe utajifanya unatunza mazingira, huku wao wanawekeza. Kwanini China mikataba mingi ya mazingira hakuridhia. Kucheleweshana.
Acheni kudanganywa. Maandamano ya wana mazingira nchi zilizoendelea hasa Ulaya yapo kila siku. Laiti ungejua madai wanayotoa kwa serikali zao zifanye nchini kwao usingesema namna hii.
Kwaio Tanzania pekee na Afrika ndo kuna Uchafuzi wa Mazingira Mkuu ?Wao ni wabinafsi tu na hizo ni Propaganda tu maana ukiwa Mwafrika kuinuka kwao ni chukizo kwao
Ulaya ndiyo kuna upinzani zaidi. Huku kwetu cha mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…