acha ujinga uoga wako ndio umasikini wako..utaendelea kuogopa hadi liniMpigweeeeeeee!
acha ujinga uoga wako ndio umasikini wako..utaendelea kuogopa hadi lini
Mnapoteza muda. Kuandamana there will be no solution to your problems bora mtulie zenu tu nakutafuta njia mbadala ya kusoma bila mkopo.
Sio solution
hahahahaaa kweli ripoti iliyotoka juzi kuhusu ugonjwa wa akili we umo aisee!!!utasomaje chuo kama huna mkopo mtoto wa familia maskiniKwani ni lazima kupewa mkopo?
Maandamano ni haki ya mtu huombi kibali bali unatoa taarifa kuomba ulinzi!!!tatizo watanzania ni mambumbumbu mpaka basi hayajui haki zaoKaka unawazo zuri sana nakusapoti ila umeomba kibali?inauma sana masuala ya msingi hayapewi msingi,dah