Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Zgerald95

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
235
Reaction score
59
Ni dhahiri inaumiza mabilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii zinatumika katka matumizi yasyo rasmi, zimetumika pesa nyingi sana katika kamati ya kukusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya, mwsho wa siku hakuna kitu kilichofanyika.

Maelfu ya wanafunzi wanakosa mkopo wa elimu ya juu bila sababu ya msingi! Tukutane asubuhi ya Jumatano heslb! Julisha mwenzako!

Solidarty forever!
 
Kaka unawazo zuri sana nakusapoti ila umeomba kibali?inauma sana masuala ya msingi hayapewi msingi,dah
 
Ona sasa unavyokuwa mwoga na kufundsha wenzako uwoga ktk kudai haki zao za msingi! Dhambi iliyombaya katika kutafuta haki yako ni uwoga!
 
mtakutana na virungu hamtakuja isahau tar.15 maishan mwenu make nauhakika sio wote mtakaorudi salama
 
Kaka unawazo zuri sana nakusapoti ila umeomba kibali?inauma sana masuala ya msingi hayapewi msingi,dah
Maandamano ni haki ya mtu huombi kibali bali unatoa taarifa kuomba ulinzi!!!tatizo watanzania ni mambumbumbu mpaka basi hayajui haki zao
 
Watupige tu mbona Yesu alipigwa bila ata kuandamana
 
Back
Top Bottom