Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

naumwa jamani mwenzenu nifanye nini? maisha ya nchi hii ni ya watu wachache wengine tusubiri kufa tuu!
 
ww kwenu zpo cyo?hali ni mbaya watu hawana chochote chuo umepangiwa af hujui pakuanzia iyo mbinu mbadala utushrikshe.
 
Yaani kuna wa2 wanawaza km wamefungiwa kwenye chungu, wewe Mwanafunzi amechaguliwa mjini hapa na hakuna mkopo aliopewa! Wewe unafikiri mwanafunzi mtoto wa maskini huyo atasomea nini?! Acha kuwaza kama umebanikwa wewe Danya!
 
Kumbuka uko hivi kichwa yako iko hivi ndyo maana unawaza u2mbo syo! #Danya !
 

Attachments

  • 1413312598306.jpg
    9 KB · Views: 307
Hakuna kurudi nyuma vijana wenzagu kesho ntachukua makamanda wa Mazense tuje kuwaunga mkono.
 
Yaani kuna wa2 wanawaza km wamefungiwa kwenye chungu, wewe Mwanafunzi amechaguliwa mjini hapa na hakuna mkopo aliopewa! Wewe unafikiri mwanafunzi mtoto wa maskini huyo atasomea nini?! Acha kuwaza kama umebanikwa wewe Danya!

Mm si nina post ujinga nenda kaandamane ukipata mkopo ww...maiti zote zita fufuka nenda kama utapata mkopo kupitia maandamanoooo fyoooooo

Goodluck katika kupoteza mda wako let ----er ---- himself
 

We utakuwa wa kwanza kuandamana ww......mzazi wako alikuanzishaje form one kama hana pesaaaaaa.......kama anatambua umuhimu wa elimu si asake pesa ukasomeeeeeee we vipi mnafuga umbwa kutegemea mavi ya walevi.....nenda kaandamane na ukipigwa upigwe tuuuuuuu
 
Mtu umepewa nafasi ya ku appeal huhafanya hvyo halafu hapa unakuja kusumbuaaaa kama una vigezo ukiappeal si utapataaaaa.....ukiandamanaaa utaenda na mashamba bodi ya mkopo kuonesha we mtoto wa mkulimaaaa acha kusumbua kudai haki pasipo na hakiiiiii
UDT SANGATIT
 
Si unaona unavyo-post km m2 asijielewa! Mimi nina wasiwasi wa uelewa wako maana huenda ikawa ww ni kama huyo aliyesema nami nasema upigwe tu! Weka kwenye mizani maneno unayonena maana naona unanena u2mbo! Mzazi kunianzisha form 1 inahusu nini na kupewa mkopo wa elimu ya juu! Ww umesahau $133 million za EPA, Mikataba mbalimbali ya gesi na madini kama Meremeta $155, Radar $42 million, Richmond $100 miliion, Mabilion ya Uswisw $$579, ESCrow $122 million ) juzi kwenye bunge la katiba wanagawana posho ya 300000 kwa siku! Hivi wewe unaweza ku2ambia nini kuhusu kukosa mkopo kwa Mwanafunz wa Elimu ya juu?! Hamna ki2 unaweza ku2ambia ww, nenda kawaambie walioku2ma wamekuagiza u2mbo au kama utakuwa umeji2ma mwenyewe ndyo utakuwa umepotea njia kabsa!
 
Hamna ki2 unaongea ww Danya! Nina mashaka na ww utakuwa ni walewale wapinda sura mkijiita watoto wa mkulima
 
Kesho ni kukinukisha mwanzo mwisho. Kila aliyechaguliwa chuo anahaki ya kupata mkopo. Solidarity forever. Sisi wa Diploma wengi sana tumekosa mkopo, Haiwezekani. Tanzania ni yetu sote. Maandamano hadi kieleweke.
 
Sawa Mkuu Mpatanishi! Lazima wafanye consideration maana hai2ingii akilini pesa wanazokula, wanakaa kwenye viyoyozi, wanaendesha magari mazuri na kugaia watoto wao mikopo huku mtoto wa maskini akiambulia pa2pu, hamna ki2 chochote wanaweza ku2ambia 2kaelewa mbali na kugawa mkopo wa2 2kasome!
 

Kama tutashindwa kudai hata haya yanayotuhusu itakua kuzisaliti nafsi zetu, sioni mantiki ya bodi kuwa na jengo la mabilioni lenye viyoyozi hadi kwenye makorido huku whusika wakitembelea magari ya anasa kwa pesa ya kodi ya mtanzania wakati huo huo watu tunakosa mikopo. Najiuliza sana kwa nini wengine wapate 100% tena kozi non priority halafu mwenye kozi priority, yatima hakupewa hata 0%.
 

Hawa board wanagawa mikopo kwa rushwa na kujuana! Watoto wa maskini hawana pesa ya kutoa rushwa ndyo sababu ya msingi ya kutopata mkopo kwa mtoto maskini! Hamna kitu wanaweza ku2eleza hawa! Nini cha maana cha wao ku2eleza 2kawaelewa! Wa2pe mkopo sio pesa za walipa kodi wananunulia mashangingi na kutembea kuweka mafuta ya mamilioni wakizunguka huku na huko! Imefika wakati inabidi wa2pe haki ye2 watoenhaki ye2! Hamna ki2 wanaweza ku2ambia 2kaelewa hawa!
 
Huyu atakua mjinga fulani tu, achana nae. Then kuna dada pale bodi alikua kavaa gauni la chui chui hivi baada ya mkurugenzi kupigwa maswali. Wakawa anaondoka na mkurugenzi wake wanaingia ndani nikamfuata yule dada namsimamisha akajibu mbovu yan ilikua kidogo nimzabe makofi kwa hasira mana ameonesha wazi dharau ya hali ya juu ni Mungu tu alinipa moyo wa uvumilivu, mara vijana wakawa wanamfuata mkurugenzi kwa speed nikasikia askariiii zuia hawa. wakambilia ofisini kwao. Kesho ikibidi tutalala pale pale.
 
Labda waje jw lakini wakija wale wa CCP tutaenda nao sambamba mbona
Nendeni mkadai mkopo,najua ugumu uliopo chuo hususani pale utakapokuwa umekosa mkopo,ila ucjidanganye kuwa police hawataweza kuwachapa,depo waliwadanganya kuwa police ni maraia?jaribuni kurusha ngumi mdhihirishe unanga wenu 3months?ucjidanganye
 
Nendeni mkadai mkopo,najua ugumu uliopo chuo hususani pale utakapokuwa umekosa mkopo,ila ucjidanganye kuwa police hawataweza kuwachapa,depo waliwadanganya kuwa police ni maraia?jaribuni kurusha ngumi mdhihirishe unanga wenu 3months?ucjidanganye

Haya ni maandamano ya amani! Police wenyewe wanalipwa mishahara midogo, wanafanya kazi ktk mazingira hatarishi, hawana bima ya maisha! Wanaishi km panya kwenye shimo la nyoka! Hebu nao wafunguke, sio ku2mwa2mwa 2 pacpo sababu ya msingi! Wao wajibu wao ni kulinda raia sio kupiga raia! Ukijua haki zako bhana raha sana! Uoga 2pa kule! Dai haki yako ya msingi!
 
mi naona, ifikie hatua watu wa diploma watumbie tu ukweli kwamba haturusiw kupewa mikopo ili tuwe tunatambua mapema kuliko kutoa ruhusa tutume maombi ambayo yanakusanya mamillion ya mapesa then hata 0% hupata for me, huu ni wiz uliowaz & npo pa1 kuwaunga wenzangu kwenye maandamano Solidarty forever!....!
 

Haina haja ya kurusha ngumi, mi nataka tujibishane kwa hoja maana vijana 2mesoma mpaka 2lipofikia 2naweza jenga hoja za msingi za kudai haki yako! 2kirusha ngumi 2takuwa km hii SIRIKALI (serikali) maana yenyewe ina2mia mabavu na nguvu kubwa katka utawala wake! Hawana hoja za msingi na sera zao zimepitwa na wakati, hakuna ki2 wanafanya hawa mafisadi! Solidarty forever! Kukuche mapema maana hata usingizi umekata kwa uhuni wa viongozi na wa2mishi wa Umma wanachokifanya ktk uongozi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…