Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

mi naona, ifikie hatua watu wa diploma watumbie tu ukweli kwamba haturusiw kupewa mikopo ili tuwe tunatambua mapema kuliko kutoa ruhusa tutume maombi ambayo yanakusanya mamillion ya mapesa then hata 0% hupata for me, huu ni wiz uliowaz & npo pa1 kuwaunga wenzangu kwenye maandamano....!

Mimi pia Diploma aisee kifupi weeeengi tumekosa, hawa bodi wamefanya uhuni kabisaaaa. Kesho hadi kieleweke.
 
mi naona, ifikie hatua watu wa diploma watumbie tu ukweli kwamba haturusiw kupewa mikopo ili tuwe tunatambua mapema kuliko kutoa ruhusa tutume maombi ambayo yanakusanya mamillion ya mapesa then hata 0% hupata for me, huu ni wiz uliowaz & npo pa1 kuwaunga wenzangu kwenye maandamano Solidarty forever!....!

Usisahau kuwaambia na wengne, hamna ki2 wata2eleza! Wanakula pesa ze2 halafu wana2gawagawa kwa mafungu km nyanya, eti hawa diploma, eti hawa form 6, mkurugenzi ovyo kweli huyo na wa2mishi wenzake wote!
 
Mtu umepewa nafasi ya ku appeal huhafanya hvyo halafu hapa unakuja kusumbuaaaa kama una vigezo ukiappeal si utapataaaaa.....ukiandamanaaa utaenda na mashamba bodi ya mkopo kuonesha we mtoto wa mkulimaaaa acha kusumbua kudai haki pasipo na hakiiiiii
UDT SANGATIT

Pumbavu mkubwa wewe, aliyekwambia una appeal ukiwa mtaani ni nani?? Ku appeal ni hadi uwe chuo na tena uanze kabisa masomo na ichukua miez mitatu kupata majibu ya hiyo appeal, chuo gani kitakupokea bila ada ya semester ya kwanza? Unajua kuna vyuo hiyo ada ya usajili na fee ya semester ya kwanza ni mil 1.4. Mtoto wa masikini atapata wapi hizi hela. Acha kutumia makalio kufikiri mbwa wewe.
 
Ngoja tuone kama waziri kivuli wa UKAWA kama atakuwa kwenye haya maandamano haya ndio maandamano yenye tija na hapa ndipo pa kupima unafiki wa vijana mambo yao msingi wanajitenga yakija maandamano yasio na kichwa wala miguu ndo wa kwanza kuandamana

Huyo waziri kivuli wa UKAWA mmemshirikisha kiasi gani wakati mnayaandaa maandamano haya? mmempa taarifa kuwa na yeye anatakiwa kuhusika? Taarifa yenyewe hapa JF mmeandika ni maandamano kwa waliokosa mkopo, kwa maana kwamba wanatakiwa kuandamana waliokosa mkopo peke yake. Na kama mnatafutwa kuungwa mkono hata na wale ambao hawahusiki, inatakiwa mfikishe ombi kwa usahihi, vinginevyo kesho mtaanza kulalamika hapa wakati hata hamkueleweka.
 
Pumbavu mkubwa wewe, aliyekwambia una appeal ukiwa mtaani ni nani?? Ku appeal ni hadi uwe chuo na tena uanze kabisa masomo na ichukua miez mitatu kupata majibu ya hiyo appeal, chuo gani kitakupokea bila ada ya semester ya kwanza? Unajua kuna vyuo hiyo ada ya usajili na fee ya semester ya kwanza ni mil 1.4. Mtoto wa masikini atapata wapi hizi hela. Acha kutumia makalio kufikiri mbwa wewe.

Taratibu! Naona tumeendelea maana hata mbwa wa Tanzania ni sehemu ya jukwaa la jamii siku hizi
 
Huyu Danya ana waza km yupo kwenye shimo la choo! Waza kwa umakini ww, sio unawaza u2mbo halafu unaongea porojo, nina wasiwasi na elimu uliyo nayo wewe, itakuwa ni elimu ya madftar na haijakusaidia ki2 chochote, au unalaana ya bibi yako mzaa mama yako nini?! Maana hizo ndyo laana ambazo zinaganda wa2 km makalio na chupi! Usiongee ujinga km huu siku nyingne!
 
achana nae huyo ni ----- acyejitambua....
 
Taratibu! Naona tumeendelea maana hata mbwa wa Tanzania ni sehemu ya jukwaa la jamii siku hizi

Ukiwa na akili za mbwa c unaweza kuandika 2 yale mawazo ya mbwa! Kuna wa2 wana akili za kuokota km za huyu jamaa anajiita Danya, mi nafikir unafanania kuitwa Dunya!
 
Mkopo ni haki ya wanafunzi wa elimu ya juu.Kwa hapa serikali hatuwaelewi.Eti bajeti haitoshi...!!,ina maana haitoshi kwenye mikopo tu ya elimu ya juu ila zile za bwerere kwenye uandaaji wa jarida na jkt zilitoshaje?Hapa tunahitaji ufumbuzi na sio majibu rahisi kwenye maswali magumu.Punguzeni shule basi kama mnaona bajeti haitoshi ili mpate wanafunzi ambao bajeti itatosheleza,kila mwaka haitoshi je,ni lini itatosha?Au wekeni wazi kuwa serikali haihitaji wasomi wa elimu ya juu.
 
Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
 
Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!

na za ziara ya hicho chama zinatoshaje?naona wanakaribia kumaliza nchi kwa kufanya ziara.Sisi hatutaki ziara tunataka mikopo ili tuweze kupata elimu juu.
 
Utaratibu wa pale kabla ya bosi kutoka nje kuongea na nyie, zinaitwa defender za ffu, nyie msiogope, akimaliza kutoa majibu iwe mmeridhia au hamjaridhia polis watatangaza mtawanyike mara ya kwanza.....mara ya pili.... mara ya tatu...." tunaomben mtawanyike.. mkibisha hapo kifuatavyo itv mnakijua kama kweli mna nia lazma mueajambishe kidogo
 
wazo zuri ila taratibu na kanuni ni lazima zifatwe mwisho wa siku mtaishia kupigwa mabomu ya machoz
 
HONGERA SANA ORGANISER WA MAANDAMANO HAYA YA AMANI.
•Serikali ina jukumu la kuhakikisha wanafunzi hasa watokao ktk uchumi duni wanapata elimu ya juu na kukidhi mahitaji.
•tujue kwamba, huletewi haki yako kwenye sahani..UNAIPIFANIA,UNAITOLEA JASHO. Lets Dare to!
•Maandamano haya,yataandikwa ktk historia..yatawawezesha wanafunzi wa mwakani pia kupata mikopo na kuepukana na hii adha. TUSIISHIE KUJIFIKIRIA SISI TU.
•Acha tupigwe,acha tumwage damu,acha tupigwe na jua,acha tuonekane wendawazimu lakinu Message SENT.
•Hakuna nchi itayafikia maendeleo bila kupinga matusi kama haya. Ona wanafunzi wa Kenya!! THEY FIGHT and they get what they want.
Mimi kesho nitakuwepo! Mungu atusaidie na kutuondoa woga.
...SOLIDARITY..SOLIDARITY..WE ARE MOVING.
 
Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
Na hii iwe fundisho kwetu Wanafunzi wa vyuoni. Mwakani TUSIKUBALI kuchagua serikali dhaifu kama hii,serikali isiyo na dira,isiyotumia akili kufikiria. WE WILL VOTE INTELLIGENTLY.
 
na za ziara ya hicho chama zinatoshaje?naona wanakaribia kumaliza nchi kwa kufanya ziara.Sisi hatutaki ziara tunataka mikopo ili tuweze kupata elimu juu.
Au Pesa inaandaliwa kwa ajili ya campaign za mwakani??
Wamefilisi Mifuko ya Pensheni, wamefilisi Mishahara ya wazee wetu,wamefilisi kodi zetu,wamefilisi kodi za wawekezaji, wamefilisi mabilioni ya kilimo kwanza, wamefilisi MAPESA YA NCHI..wanataka kutufilisi na sisi?? HAIWEZEKANI.
LAZIMA TUPINGE VIKALI HII!!
 
ok vzur! kuandamana c dhan kama n njia nzur coz 2nakuta watanzania wenzetu wanakufa kwenye maandamano andken waraka 2.
 
Ukiwa na akili za mbwa c unaweza kuandika 2 yale mawazo ya mbwa! Kuna wa2 wana akili za kuokota km za huyu jamaa anajiita Danya, mi nafikir unafanania kuitwa Dunya!

Ww wangapi walipewa haki yao kwa njia ya maandamano ww.......usi shadadie vitu usivyo vijuaaaa bhna tafuta njia nyingneee maana pale mtaishia kuchungulia tuuu nafikiri leo hata getin hamtaruhusiwa kuingia mbna elimu yenu haiwakomboi wangapi wameandamna bongo hapa...kudai haki zao kimya mpaka leo sembuse nyie pigen kelele hapa JF lakini utaambulia kunawaaa.....magari ya kifahali wataendesha maana ni wafanyakazi wameajiriwa....msitake kutwambia kuwa kipindi cha kugawa mkopo wa elimu ya juu shughuli zote zisimame eti hela iende kwa wanafunzi....ili mkifika chuo mkalewe kwa hela ya serikali....mkahonge dada zetu kwa hela ya serikali fyooooo najua ww unanichukia kwa kusema ukweli lakin daima mm nitakuwa mkweliiiiii huwezi pata haki ako kwa maandamano hapa bongooooooo never unashida nenda kaombe kwa upoleeeeeeeeee......leo si ndo imefika ngoja cc watazamaji tusubiriiiiiiiii
 
Back
Top Bottom