Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

ok vzur! kuandamana c dhan kama n njia nzur coz 2nakuta watanzania wenzetu wanakufa kwenye maandamano andken waraka 2.

Haki huletewi kwenye sahani mezani, haki unaitafuta ikibidi hata kwa jasho. Niko njiani hivi naelekea huko bodi.
 

Ficha upumbavu wako, onesha busara yako
 
Mi nawaomba yawe ya amani ili yasije yakatokea mengine mabaya na kwa hao mnaowafata wasijifanye wao ndo wao wasikilize hoja na wajue jinc ya kutatua tatzo cyo kujenga tatzo lingne kubwaaa
 
poleni ndugu kwa kukosa mkopo. ila usiku unapozidi jua mwanga unakalibia.hii ndio tz bado tuko katika kipindi cha mpito hivyo yatupasa kufikili upya.
 
rudsha hizo pesa uokoe kijana mmoja apate nayeye

Unaona sasa ww kunguni umekimbia na hela😱
 
mi nashkur japo cjapata percent zote ila co haba ila tuandamane kiutulivu ndgu zangun
 
Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!
 
Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!

vizur.
kwa hiyo kuna matunaini ya waliokosa kupata mkopo..?
 

Kwenye moja ya mabango yenu andikeni "serikali ikope fedha kwa ajili ya wanafunzi wake woote wanaokwenda vyuo vikuu kila baada ya miaka 4, mkopo huu utaweza kusomesha wanafunzi wote kwa miaka 4 mfululizo" Na kwa mnaokopeshwa mkumbuke kurejesha! hasa wale mnaojiajiri au kwenda sekta binafsi.
 

Kweli said!
 

nilimuona huyo dada ,mweupe hivi nyodo kibao kwa kodi za wananchi ukicheki pale wamepaki magari ya kifahari kibao ,halafu sijui alikuwa anafanya kazi gani pale maana sikuona cha maana,,Aisee It's unfair mtu katumia nauli kutoka mikoani halafu majibu yao simple simple wale jamaa
 

wengine 2ko mbali jama,
vp mliwauliza kuhusu mikopo kwa wale continuing students ambao account zao hazionyeshi ki2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…