Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Hayo maandamano yako wapi nyie mapimbi?
 
Mwisho wa maandamano ni 2006 mengine yote bonanza tu mmekuwa watoto wa mama kazi kusinzia tu darasani.
 
pinda alishasema ukiandamana utapigwa tu hata iweje so.it better usiandamane
 
Kasugugu historia ysko ina2funfidha uoga! Nyamaza, pointsvza msingi huna!

ok! Mimi ni mwoga ila nina uhakika na nlichokwambia sababu nina experience, ukikosa mkopo bora ufanye ku-appeal ila kuandamana hakusaidii na nakuhakikishia utajutia muda na rasilimali ulizopoteza kwa kufuata mkumbo.....huamini??? Basi fanya ujionee mwenyewe
 
Watu wa maandamano chaliiiiiiiiiiii mme angukia puaaaaaa.........acheni mbwembwe vijanaaaaa hii nchi ya wenyenayo ss wengine ni kama wapita njia
 
Kila la heri hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke muda wa ukombozi umesharibia
 
Maandamano yalifanyika na waandamanaji waliambiwa waorodheshe majina yao na huenda wakapewa mikopo source: HABARI24 BLOG: WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO WAANDAMANA HADI WIZARANI KUDAI HAKI YAO

wanafunzi hao wamefanya vizuri saaaaaaana.
hata kama hawakuonana na viongozi waliowataka ila wameonyesha nia na lengo lao. Mwenyezi Mungu azidi kuwatetea na kuwasimamia.
Nimefurahi sana.
Hata wasipopata mkopo wao lakini ndo wamefungua mlango wa wadogo zetu walioko chini kutengewa bajeti ya kutosha
HONGERA SANA VIJANA.
 
There z phase 2 to come, big up for all who joined da peace layout
 
tarehe 19, mida ya asubuh mheshimiwa Rais Kkwete atakuwepo mlimani city kuongea na wanafunzi wa vyuo vikuu, source TIA notesboard.
 
tarehe 19, mida ya asubuh mheshimiwa Rais Kkwete atakuwepo mlimani city kuongea na wanafunzi wa vyuo vikuu, source TIA notesboard.

19 ya mwezi gani..?
Na atakuwa anongea nao kuhusu nini..?
Fafanua zaidi tafadhal
 
Back
Top Bottom