19 mwez huu, itakuwa j2, tangazo halijaeleza atazungumzia nn
Asante.
Ila huyo kama hatakuja na majibu ya kuudhi na kukatiaha tamaa.
Tumwombe sana Mungu iki aeleweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
19 mwez huu, itakuwa j2, tangazo halijaeleza atazungumzia nn
Ni dhahiri inaumiza mabilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii zinatumika katka matumizi yasyo rasmi, zimetumika pesa nyingi sana katika kamati ya kukusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya, mwsho wa siku hakuna kitu kilichofanyika, Maelfu ya wanafunzi wanakosa mkopo wa elimu ya juu bila sababu ya msingi! Tukutane asubuhi ya Jumatano heslb! Julisha mwenzako! Solidarty forever!