Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA

Maboya tu yale, kama wao ni miamba si wangeacha silaha na makorokoro mengine wakaenda kumkamata wakiwa mikono mitupu?
Kwa akili yako, nani boya kati ya wanaume zaidi ya 20 pamoja na silaha kwenda kumkamata mwanaume mmoja asiye na silaha.
Yaani ukiyasema haya mbele ya Mbowe atakukandika makofi mpaka maji uyaite mmmah! Ahahahahaha!!!
 
 

Attachments

  • 48e4108a-04ec-4e64-9b9f-6eea5dbecae7.mov
    10.4 MB
Hili chawa yaani daaaah...
 
Hii ni kazi nzuri sana ya Jerry Silaa chini ya Tcra! .Makofi kwa Jerry! Mama alilenga!!
 
Hao hakuna haja ya kuwapeleka mahakamani, watatoka mapema kwa technicalities huko mahakamani!!
 
Na wwe kwa nini utake kuandamana bila ya sababu ya msingi wakati kuna katazo la Polisi!!??
 
Na wwe kwa nini utake kuandamana bila ya sababu ya msingi wakati kuna katazo la Polisi!!??
Kama huioni hiyo sababu ya msingi inayo sababisha hayo maandamano basi huna tofauti na ng'ombe wa kufugwa asiye tumia akili yaani ni hayawani!
Sababu ziko wazi kila mwenye AKILI anaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…