“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutenda isivyo haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na ucha Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye khabari za yale myatendayo.Bila shaka yule dreva wake wa kwenye lile tukio la kupigwa risasi kule Dodoma, amesharejeshwa nchini. Hivyo ile kesi yake iko mbioni kuanza kwani dreva huyo ndiye shahidi muhimu sana kwenye hiyo kesi na alikuwa anasubiriwa kwa hamu kujua mbichi na mbivu katika sakata hilo.