Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

Hayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamshukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
 
Hayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamahukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
Ungejua kisa cha Samia kuondoka Nchini kila yanapofanyika maandamano ungejitukana tusi kubwa sana
 
Hayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamahukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
Umeandika huku roho inakuuma sana.Ulitamani wakwame sehemu.Your handwriting speaks for itself.
 
Mkimaliza kufanya matembezi ya amani Mbeya kituo kinachofuata ni kipi?
 
Moderator Heading iwe Maandamano Live , Makonda ni kama dagaa tu asipewe sifa kwenye jambo lisilomhusu , siyo kila kinachosemwa kinapaswa kuwekwa juu , tafadhali sana
 
Demokrasia.

JPM alizuia kabisa maandamano na mikutano ya siasa hakuna aliyeandamana.
Mama karuhusu maandamano na mikutano ya siasa
Nakaribu kufuatilia records kama BWM aliruhusu watu kuandamana.
JK aliruhusu watu kuandamana na kufanya mikutano ya siasa.
Najaribu kufuatilia records pia kama Mzee ruksa aliruhusu watu kuandamana.

Bado pia najiuliza, kwanini Rais akiwa muislamu nchi inakuwa sana na misukosuko ya maandamano, mikutano ya siasa, Mara nyaraka za makanisa nk. Hii ni coincidence au kuna kitu nyumba ya pazia?
 
WATU NI WENGI MPAKA UKIINUA MGUU HUPATI PAKUWEKA UKISHUSHA, INAMAANA WATU WANAIPENDA CDM KIASI HIKI ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…