Siku Si nyingi mtaficha sare za CCM.ni mahangaiko tu yasio na tija kwa waliokosa uelekeo na dira 🐒
Mtaani hamkubaliki😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Si nyingi mtaficha sare za CCM.ni mahangaiko tu yasio na tija kwa waliokosa uelekeo na dira 🐒
yaani nijifiche kwajili ya ka mutu kama wew na kakundi kenu, kweli ndrugu zango 🐒Siku Si nyingi mtaficha sare za CCM.
Mtaani hamkubaliki😀
Achana naye huyo.Baba yake amemuagiza aiandae vizuri mihogo (udaga)na aianike juani.Hajui lolote kuhusu maandamano.Aliyekupofua macho alaaniwe
Ungejua kisa cha Samia kuondoka Nchini kila yanapofanyika maandamano ungejitukana tusi kubwa sanaHayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamahukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
Umeandika huku roho inakuuma sana.Ulitamani wakwame sehemu.Your handwriting speaks for itself.Hayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamahukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
Unaumia ukiwa unakata gogo....Hayo maandamano hayana tofauti na yale ya Mei Mosi... au ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama. Ni maandamano ya kumjenga zaidi Rais Samia. Ninamahukuru sana Mbowe kwa kufanya kazi yake vizuri.
kuna njama fulaniModerators, heading ibaki maandamano ya Mbeya baasi🙏