Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

Lissu ni mwanasheria tena nguli, anapoita Makonda ni jambazi, muuaji inamaana hakuna Sheria inayoweza kutusaidia kumpeleka mahakamani Makonda mpaka Serikali ya CCM itakapoamua yenyewe?

Tunasemaga tumeziambia taasisi za kimataifa kuibana mbavu Tanzania kiasi cha kunyimwa msaada ili tu Mbowe awe huru na demkorasia ya maandamano iruhusiwe, tumeshindwaje kuziomba hizo taasisi za kimataifa kuibana mbavu GOT na uchunguzi huru dhidi ya shambulio Lissu ukafanyika pamoja na mtu tunayemlabel muuaji akahukumiwa.
 
Lucas Mwashambwa ni muda umepita tangu tulipokuarifu kuwa tutakuwa wageni wako, leo tupo Uyole wewe mwenyeji wetu haupo lakini kuna watoto wa shule wametuambia ulionekana kwenye milima inayoitazama Uyole, milima ya Kawetere.
Lucas Mwashambwa wewe ni mdau wetu muhimu sana kwenye siasa za mkoa wa Mbeya ila unatushangaza kuwa kamanda muoga hivyo tofauti na ulivyokuwa kwenye mazoezi wakati mabomu yakilipuliwa wewe ulikuwa unacheza ngoma za kisafwa unatuambi eti unapata midadi! Leo mabomu hayajalipuliwa wewe tayari uko kwenye milima ya Kawetere kwenye barabara iliyo kina kirefu katika Afrika kutoka usawa wa bahari.
Lucas Mwashambwa kwaheri lakini ujumbe wa salamu tunauacha kwa chifu Lyoto, teremka mapema kabla ukungu na baridi havijakukuta.
 
mdororo wa maandamano ya mahangaiko waonekana mbeya...
 
Makonda ni jambazi linalotwakiwa kuwa gerezani
 
Maandamano hali vipi huko
 
Hii inanikumbusha Nyimbo kali ya Peter Tosh ya "Don't Close Door behind you"
 
Kwa kuongelea Kwa uzuri au ubaya,

Unatoa coverage ya maandamano Kwa kujua na kutojua!!
ukweli lazma usemwe wazi,

na hili liko wazi kabisa kutoka mbeya...

wamekataa kubebwa ufala...
 
LISSU NI MJINGA KABISA ATENGENEZE EVIDENCE AMPELEKE MAHAKAMANI, SHERIA ZINARUHUSU, OTHERWISE MAKONDA ANAWEZA KUFUNGUA SHAURI LA KUITWA JAMBAZI, LIKIMTAKA LISSU ATHIBITISHE, MAKONDA HII NI LOOP HOLE, BURUZENI MAHAKAMANI MROPOKAJI ILI AUTHIBITISHIE UMMA JUU YA UJAMBAZI ULIONAO, A GOLDEN CHANCE HII. WALAAH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…