Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Moderator tunaomba mheshimu bandiko la Erythrocyte kwa kurudisha kicwa Cha habari kilichokuwepo. Mambo ya Lissu na Makonda anzisheni uzi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumegundua jambo , hata hivyo halitafanikiwaModerator tunaomba mheshimu bandiko la Erythrocyte kwa kurudisha kicwa Cha habari kilichokuwepo. Mambo ya Lissu na Makonda anzisheni uzi wake.
Mpo uyole gani? Mbona siwaoni mkuu?
Daaa,namwona Dr Slaa
Ukiwa Kawetere mlimani utatuona vizuri sana bila chenga, ila naona Mods wameamua kumlinda.Mpo uyole gani? Mbona siwaoni mkuu?
Pamoja sanaUkiwa Kawetere mlimani utatuona vizuri sana bila chenga, ila naona Mods wameamua kumlinda.
Kwa picha hizi zinazotumwa mitandaoni, kwa vyovyote vile wewe utakuwa kipofu, unayehesabu watu kwa kuwagusa.Maandamo yamechacha Niko Uyole hapa sijui wapo 20
Kwa kuongelea Kwa uzuri au ubaya,mdororo wa maandamano ya mahangaiko waonekana mbeya...
Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi
Tundu Lissu:
- Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya.
- Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya mazoezi, tunaandamana sababu tuna hasira na hiyo hasira ndiyo itakayoleta mabadiliko. Tunaandamana kwasababu njia za mazungumzo zimekataliwa, mlango mmoja ukifungwa mingine lazima ifunguliwe kwahiyo njia ya maandamano ni njia ya shinikizo kwa wale waliokataa meza ya mazungumzo.
Akijibu kuhusu madai ya Makonda kuwa CHADEMA ndio waliokataa maridhiano Lissu amesema, Mimi kwenye maridhiano sijauona Makonda nimemuona kinana, Mzanzibari Spika na wengine kwenye maradhiano. Hawa ndio wanaweza kuzungumza kimejadiliwa kitu gani na tumeshindwana kwenye kitu gani, sio Paul Makonda.
Akijibu kuhusu Makonda kusema amewakimbia kwenye Mdahalo Lissu amesema, "Sisi tutakaaje na mhalifu yule, sisi tutakaaje na muuaji yule, kuteka watu nyara, kuvamia vituo vya televisheni kama clouds tutakaaje na mtu anayepaswa kuwekwa gerezani? Na haya ni kwa uthibitisho wa mambo aliyofanya na anayotuhumiwa kuyafanya, ndio maana Wamarekani wamempiga marufuku kwenda Marekani, ni mhalifu, hatuwezi kukaa na jambazi. Watanzania wajue kwamba hatuwezi kukaa na jambazi.
Mwabukusi
Wanatuambia wamebinafsisha bandari lakini ukweli ni kwamba wameziuza. Tutaendelea kupiga kelele na kukataa mikataba hii sababu mikata hii taitendei haki kama Watanganyika.
Swala la bandari halijaisha mahakamani, mahakama ilisema imefungwa mikono, mahakama ilisema sheria imekiukwa, sisi tunataka mikono ifunguliwe na bandari isrudishwe kwa watanganyika. Suala hili halijatulia bado bado kwani tumekata rufaa, hata wao hawajatulia ndio maana wamewadanganya watanzania kuwa wamefanya maerekbisho. Mimi nawauliza kama wamefanya marekebisho watuambie lini IGA ilienda bungeni ambao bunge, ikatambua unquestionable terms zote katika wizara husika, lini zilifika mbele ya baraza la mawaziri na kufanyiwa kazi, lini zilikwenda bungeni na kufanyiwa kazi, na lini zilikwenda Dubai kujadiliwa na kusaniwa? Hawasemi ukweli, jambo la bandari bado sana kuisha.
Hii inanikumbusha Nyimbo kali ya Peter Tosh ya "Don't Close Door behind you"Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya mazoezi, tunaandamana sababu tuna hasira na hiyo hasira ndiyo itakayoleta mabadiliko. Tunaandamana kwasababu njia za mazungumzo zimekataliwa, mlango mmoja ukifungwa mingine lazima ifunguliwe kwahiyo njia ya maandamano ni njia ya shinikizo kwa wale waliokataa meza ya mazungumzo
ukweli lazma usemwe wazi,Kwa kuongelea Kwa uzuri au ubaya,
Unatoa coverage ya maandamano Kwa kujua na kutojua!!