Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

Hao wakuu wa mikoa/wilaya kwa nchi yetu ni mizigo tu.
Ilitakiwa wabanane pale Lumumba na Chamwino huku kwenye ofisi za umma ni kutia hasara tupu wananchi.
 
Kuna chizi mmoja wa dar es Salaam aliongea ujinga
sana kuhusu sukari
Kisu kinakaribia kugusa mfupa
Inzi wa kijani wanaruka ruka utafikiri wameona kinyesi
 
MTAFUTENI LUCAS MWASHAMBWA NAYE ASHIRIKI ILI AKILI ZIMRUDI.
Mwashamba yupo kwenye kilio kafatwa na watoto wa mjini wakamwambia kuwa Kuna teuzi inakuja ila atoe kiasi flani jamaa kajiloki kaachwa solemba hana hamu
 
Mwambaaa mwashambwaaa chawaaaa umeupata ujumbe wa mheshimiwa raisi Lisu??nimeupendaa saaana amepiga penyewe serikali watii sheria bila shuruti wamkamate mwenezi wa chama cha.....???
 
Unamuamini Tulia tukuwekee yanayomhusu ?
Ndio mbunge wa sasa na ajaye wa Mbeya mjini kwanini asiaminike?

Sugu hana maajabu kuongoza vipindi 2 vyote na hakuna la maana Mbeya barabara vumbi kila kitu shida maendeleo duni
 
Mods msifute hili bandiko. Wacheni wananchi wajue nini kiliendelea na kusemwa wakati wa Maandamano Mbeya.
 
Makonda ni muuaji sehemu anapostahili kuwa kwa sasa ni gerezani akisubiria kunyongwa hadi afe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…