Kaz Kweli Kweli,ukweli lazma usemwe wazi,
na hili liko wazi kabisa kutoka mbeya...
wamekataa kubebwa ufala...
Unatukana maandamano Ukiwa katikati ya kundi kubwa la waandamanaji😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaz Kweli Kweli,ukweli lazma usemwe wazi,
na hili liko wazi kabisa kutoka mbeya...
wamekataa kubebwa ufala...
Hao wakuu wa mikoa/wilaya kwa nchi yetu ni mizigo tu.Jana RC wa mbeya Juma Omera ameyaita maandamano ya CDM kuwa ni ya kutafutia Kiki.
Akashauri kuwa wananchi mkoani humo kujifanyia shughuli zao badala ya kwenda kwenye maandamano hayo.
Nafikiri alikuwa anajidanganya sana maana yeye pia ni binadamu kama wengine tu.
Tupo hapa Mbalizi tunamsubiria mwenyekiti wetu taifa ili tuanze kupandiaha kilima na kuingia jijini.View attachment 2909824
Nimejiona😂
Apewe Maua yake ili aendelee kusindikiza wengineAliyekupofua macho alaaniwe
sana kuhusu sukariJana RC wa mbeya Juma Omera ameyaita maandamano ya CDM kuwa ni ya kutafutia Kiki.
Akashauri kuwa wananchi mkoani humo kujifanyia shughuli zao badala ya kwenda kwenye maandamano hayo.
Nafikiri alikuwa anajidanganya sana maana yeye pia ni binadamu kama wengine tu.
Tupo hapa Mbalizi tunamsubiria mwenyekiti wetu taifa ili tuanze kupandiaha kilima na kuingia jijini.View attachment 2909824
Inzi wa kijani wanaruka ruka utafikiri wameona kinyesiKisu kinakaribia kugusa mfupa
Hii ndiyo itakuwa bendera mpya ya Taifa teule la Tanganyika
Mwashamba yupo kwenye kilio kafatwa na watoto wa mjini wakamwambia kuwa Kuna teuzi inakuja ila atoe kiasi flani jamaa kajiloki kaachwa solemba hana hamuMTAFUTENI LUCAS MWASHAMBWA NAYE ASHIRIKI ILI AKILI ZIMRUDI.
Aibu kubwa yaani kwenu ndio imekuwa hivi pamoja na matangazo yote hayo!!?
Propaganda za kibwege sanaAibu kubwa yaani kwenu ndio imekuwa hivi pamoja na matangazo yote hayo!!?
Muwemnaweka na hizi picha za drone!!
View attachment 2910556View attachment 2910560
Nimeona mbunge Dk Tulia karusha picha ni AIBU kwa kweliMaandamo yamechacha Niko Uyole hapa sijui wapo 20
Unamuamini Tulia tukuwekee yanayomhusu ?Nimeona mbunge Dk Tulia karusha picha ni AIBU kwa kweli
Ndio mbunge wa sasa na ajaye wa Mbeya mjini kwanini asiaminike?Unamuamini Tulia tukuwekee yanayomhusu ?