Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA yamekosa umuhimu, mvuto na ushawishi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ambagae

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
3,334
Reaction score
1,385
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.

Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi Chadema waandamane nchi nzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.

Pia soma:

 
Subiri mifungo iishe utakumbushwa maandamano ni kitu gani.
 
Ukiambia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.

Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.

Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.

Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
 
Mikutano na maandamano ya chadema hayajawahi kukosa watu sijui unaumia ukiwa wapi
 
  • Bandari imeuzwa.
  • Wamaasai wanaangizwa.
  • Ubadirifu wa mali za Umma umeongezeka.
  • Uadilifu unaelekea sifuri
  • Ni dhahiri wazawa wa Tanzania wanabaguliwa katika "Uwekezaji"katika nchi yao wenyewe.
  • ...

Hata hivyo, CHADEMA haina sera inayoeleweka. Na maandamano wala katiba, hayaleti/haileti chakula mezani

cc Nkaburu
 
Kwa upimbi huu ndo unadhani utapewa buku 7 kama wenzio??? Thubutuuuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeandika kama ndo unatokea kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…