Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti.
Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi Chadema waandamane nchi nzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.
Pia soma:
Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe kupitia vyombo vya habari hadi Chadema waandamane nchi nzima kama walivyotuaminisha. Washindwe na walegee.
Pia soma:
- Mwitikio Maandamano Chadema yawasikitisha wengi
- Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA
- Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA
- Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?
- Dkt. Tulia akosoa maandamano ya CHADEMA Mbeya
- CHADEMA: Tunaendelea na maandamano, maombolezo yanaisha kesho Februari 14, 2024
- Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania
- Hivi maandamano ya amani ya CHADEMA yana tija gani mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa wananchi? Au ni usanii tu
- CHADEMA mkitaka maandamano yafanikiwe fanyeni kwenye makundi na agenda maalumu
- Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA Kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa, laitaka CHADEMA iwe na Utu!
- CHADEMA wakiwa kwenye Maandalizi ya Kufanya maandamano
- Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?
- Ufunguzi wa maandamano ya CHADEMA! CCM bado hawajasema
- Makamanda wa CHADEMA washangaa TBC, Channel ten, Ayo TV, ITV na Clouds tv kushiriki Press ya Mchungaji Msigwa wakati Maandamano huwa hawaripoti!
- Kwa kauli ya DC Mbeya, maandamano ya CHADEMA yanafanyika sababu Rais Samia ameruhusu na sio kwa sababu ya Katiba
- Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi
- Nini tofauti ya maandamano afanyayo Makonda na yatakayofanywa na CHADEMA?
- Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA
- Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie
- Maandamano ya Chadema yanazungumzia Masuala ya Kitaifa hivyo hakuna haja Wabunge wa Mwanza, Mbeya na Arusha kupanic!
- RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko
- Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari
- Mizizioloji? Pamoja na mvua kubwa kila kona ya Nchi watu wanajitokeza kwa wingi kwenye maandamono ya Chadema
- Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?
- CHADEMA njia Panda, Mikoa yote Tanzania inataka Maandamano ya Amani. Wadai Mikoa Minne pekee haitoshi
- Dodoma: Vyama vingine 6 vyajitokeza kupinga maandamano yaliyoitishwa na Chadema
- Tetesi: - Maandamano ni vita ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
- CHADEMA mkitaka maandamano yafanikiwe fanyeni kwenye makundi na agenda maalumu