Nimeshangaa sana kuona Mbowe aking'aa kipekee kwenye media safari hii pamoja na maandamano ya yaliyohamasishwa na chama chake KUTOFANYIKA,
virtually.
Picha za Mbowe na binti yake kuzingirwa na makundi hasimu ya polisi wenye vyeo mbali mbali kama mtu maalum (mhalifu tishio) zimepamba media kibao nchini na nje ya nchi. Wengi wamekuwa
sympathetic naye ingawa wanaona
haya kukubali:
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa chiembe n.k.
Something tells me, watawala wetu wanataka sana kuweka utawala wa kiimla nchini lakini hawana
spirit wala weledi kabisa. Wajifunze kwa Kagame. Anagonga washindani/mahasimu wake kimya kimya, bila kelele wala majigambo yasiyo na maana. Halafu anafanya mikakati kadhaa ya kuendana vyema na "mabeberu".
Imagine alivyochukua wazamiaji ulaya tokea Mediterranean. Kisha akapanga kuchukua wahamiaji wanaopitia English channel. Na yuko DRC kulinda maslahi ya mabeberu na yeye kujipatia chochote kitu. Ona huku kwetu sasa: kelele nyingi, majigambo mengi, vichambo kibao. Halafu operesheni zinafanywa bila weledi,
very crude: kila kitu kinajichoresha wazi kabisa. Hata baadaye kuzuga inashindikana.
No confidence kabisa. Kagame kuna wakati anadiriki hata kukaa kwenye midahalo ya kimataifa na kuwagonga kwa point wanaomshambulia kuwa utawala wake ni wa kidikteta. Na wanakaa!