Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu!
Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na waleta taharuki na machafuko chini?
Watu hawafiki hata kumi wakapelekewa difenda, hamuoni kama mnachagua upande kwa watu ambao mlitakiwa kuwalinda wote bila upendeleo?