Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Umasemaaa?Ngapi hukoo?Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.
Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:
✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9
Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.
View attachment 3512540
View attachment 3512544
Kuwa muwazi, hivi maandama "physical" hayatakuwepo. Toeni taarifa maalum mapema, msije waponza wachache wakati nyie mpo nyumbani katika luninge na Ipad mkijaza nyuzi JF.Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hi
Hakika tangu Ndugu Samia aapishwe maporini huko Dodoma Kila siku ni vikao vya kujadili Maandamano.Hakuna tena vikao vya teuzi .Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.
Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:
✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9
Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.
View attachment 3512540
View attachment 3512544
Usipotoshe Kwa uelewa wako mdogo .Hajasema hivyoKuwa muwazi, hivi maandama "physical" hayatakuwepo. Toeni taarifa maalum mapema, msije waponza wachache wakati nyie mpo nyumbani katika luninge na Ipad mkijaza nyuzi JF.
VIJANA TAARIFA NDIO HIYO, KAENI NYUMBANI, MSIANDAMANE.
WatatokaHivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.
Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:
✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9
Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.
View attachment 3512540
View attachment 3512544
Ukienda kukamata Simba kwa mikono ili kuonesha ujasiri; WAJINGA watakusifia kuwa ulikuwa mjasiri baada ya kuwa umeshafanywa kitoweo ILA wenye maarifa watakuona MJINGA!Kwanini tusitoke?
Ujumbe bado hawajaupata.
9D ndio wataupata sasa.
Labda walete askari ambao ni roboti.
Kinyume na hapo wasijidanganye na bunduki zao.
#9D tunatoka.
Nyie mabinti wenye uhakika wa kuishi milele hapa duniani mna maneno ya kijinga sana.Ukienda kukamata Simba kwa mikono ili kuonesha ujasiri; WAJINGA watakusifia kuwa ulikuwa mjasiri baada ya kuwa umeshafanywa kitoweo ILA wenye maarifa watakuona MJINGA!
Uamuzi ni wako... ..SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA!
🤣 🤣 🤣Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.
Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya Rally/March/Parade ni namna ambavyo nchi iko busy na hiyo tarehe D9:
✍️Maadhimisho ya Uhuru kuahirishwa✍️Gov Machinery zote ziko busy na D9✍️Watalii wamekimbia sababu ya D9✍️Vyombo vya ulinzi viko busy na D9✍️ Dunia nzima macho yako Tz sababu ya D9
Serikali kwa sasa ni kama iko paralyzed. Jaribu kufikiria hii hali ikiendelea nchi itakuwa katika state gani. Na baada ya hii D9 Gen Z wametangaza itakuwa ni mwendo huu huu wa kukiwasha kwenye kila National Events kama J12, A26 nk.
View attachment 3512540
View attachment 3512544
Nyie mabinti wenye uhakika wa kuishi milele hapa duniani mna maneno ya kijinga sana.
Fedha haramu za damu kutoka kwa Samia ulizopewa zitaishia kwenye matibabu .Usijione mjanja sana kisa Tsh 25MUnataka tukuone mjasiri kwa kusimama relini wakati treni inakuja?....