mkuu washauri Yanga wacheze mpira kiwanjani, mambo ya maandamano wawaachie wanasiasaTff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.
Hawana lolote hao wanataka kusambaza korona tuMbona njia za kuwasilisha malalamiko zimerahisishwa sana kuliko hiyo ya kukusanya lundo la watu na kuwatembeza barabarani, waandike malalamiko then wamtume mtu apeleke hapo wizarani bado yatafika tu
Huyo mtu akifungiwa je? Mwakalebela alitumwa na akifungiwa Sasa itakuwaje kwa huyo mtu anayepeleka malalamiko?😀😀😀😀😀 A joke please...ila Karia hataki upinzani kwenye uchaguzi ujao...Mbona njia za kuwasilisha malalamiko zimerahisishwa sana kuliko hiyo ya kukusanya lundo la watu na kuwatembeza barabarani, waandike malalamiko then wamtume mtu apeleke hapo wizarani bado yatafika tu
Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.
Kwel kabisa waachwe waandamane viongoz wao ndy wamewaza kuw hiyo ndy njia pekee na wanachama wa club ya uto wanaamin kuw clab yao inaonewa.Waacheni waandamane wazidi kuonyesha utaahira wao ila tu wasikatize Msimbazi.
yaani hawa yanga wana ujinga sana badala wajipange mwakani wapo kwenye club bigwa waunde kikosi kizuri wao wanafanya ujinga ujinga..Ndugu zetu sisi tukiwa tunaelekea Misri wao wako wanaelekea kwenye maandamano
Kuna tatizo mahali linatakiwa kuangaliwa dhidi ya Hawa ndugu zetuView attachment 1744894
Ni jambo la kusikitisha kwa nini wasimuombe Manji arudi gsm ni wajanjajanja tuHii team wakifanya mchezo inaenda kufa na kubaki jina tu huku ikishiriki daraja la tatu.
Me sioni kama wanaonewa. Wakijitambua wataacha kulia lia.Yanga tatizo ni wasahaulifu hawakumbuki TFF ya Jamal malinzi walivyokuwa wanaionea Simba na team nyingine zinazocheza na yanga ulikuwa huwezi kumaliza dakika 90 bila redcard
Sina mbavu!!Nami ntakuwepo, haiwezekeni simba iwe ya 13 sisi 74, timu ya kafu wanachagua wachezaji wa simba tu, mchezaji bora wa kafu wanashindanishwa simba tu, kundi anaongoza simba tu, simba wanapendelewa sana hata kombe mwaka huu wanataka watunyang'anye hii haikubaliki. Napata uchungu hakyamungu iiìiiìiiiiiìi
Tuwekeeni kanusho lao hapa!Hiyo barua siyo ya kweli na Klabu ya YANGA umekwisha kanusha kuhusu taarifa hiyo.