Maandamano ya Dar Young African (Yanga Yakanusha)

Maandamano ya Dar Young African (Yanga Yakanusha)

Status
Not open for further replies.
Si mngekata rufaa tu kwa jambo mnaloonewa?.

Kuitisha maandamano ni wazi Yanga haina viongozi wenye weledi. Wanataka huruma ya mashabiki kupiga kelele barabarani na kujidhalilisha.
 
Ni haki yao, acheni waandamane
 
Nacheka kwa dharau! yaani Yanga imefikia hatua hiyo badala ya kuimarisha Timu wao wanataka kuandamana 🤣
 
Hiyo barua siyo ya kweli na Klabu ya YANGA umekwisha kanusha kuhusu taarifa hiyo.
 
Hii team wakifanya mchezo inaenda kufa na kubaki jina tu huku ikishiriki daraja la tatu.
 
Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.
mkuu washauri Yanga wacheze mpira kiwanjani, mambo ya maandamano wawaachie wanasiasa
 
Mbona njia za kuwasilisha malalamiko zimerahisishwa sana kuliko hiyo ya kukusanya lundo la watu na kuwatembeza barabarani, waandike malalamiko then wamtume mtu apeleke hapo wizarani bado yatafika tu
Hawana lolote hao wanataka kusambaza korona tu
 
Mbona njia za kuwasilisha malalamiko zimerahisishwa sana kuliko hiyo ya kukusanya lundo la watu na kuwatembeza barabarani, waandike malalamiko then wamtume mtu apeleke hapo wizarani bado yatafika tu
Huyo mtu akifungiwa je? Mwakalebela alitumwa na akifungiwa Sasa itakuwaje kwa huyo mtu anayepeleka malalamiko?😀😀😀😀😀 A joke please...ila Karia hataki upinzani kwenye uchaguzi ujao...

Hata hivyo barua hiyo Bila Shaka ni fake...wananchi hawawezi kuitisha maandamano Wala kuvunja viti uwanjani
 
Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.

Shida yenu ni kwamba mukiambiwa muthibitishe hayo madai yenu na kuyapeleka TFF munashindwa na kuishia kulalamika mitandaoni.
Tafuteni vielelezo na ushahidi kamili mupeleke TFF au Baraza la Michezo au kwa huyo Waziri wa michezo kuwa munanyanyaswa.
 
Waacheni waandamane wazidi kuonyesha utaahira wao ila tu wasikatize Msimbazi.
 
Ndugu zetu sisi tukiwa tunaelekea Misri wao wako wanaelekea kwenye maandamano

Kuna tatizo mahali linatakiwa kuangaliwa dhidi ya Hawa ndugu zetuView attachment 1744894
yaani hawa yanga wana ujinga sana badala wajipange mwakani wapo kwenye club bigwa waunde kikosi kizuri wao wanafanya ujinga ujinga..
 
Hii team wakifanya mchezo inaenda kufa na kubaki jina tu huku ikishiriki daraja la tatu.
Ni jambo la kusikitisha kwa nini wasimuombe Manji arudi gsm ni wajanjajanja tu
 
Yanga tatizo ni wasahaulifu hawakumbuki TFF ya Jamal malinzi walivyokuwa wanaionea Simba na team nyingine zinazocheza na yanga ulikuwa huwezi kumaliza dakika 90 bila redcard
 
Yanga tatizo ni wasahaulifu hawakumbuki TFF ya Jamal malinzi walivyokuwa wanaionea Simba na team nyingine zinazocheza na yanga ulikuwa huwezi kumaliza dakika 90 bila redcard
Me sioni kama wanaonewa. Wakijitambua wataacha kulia lia.
 
Nami ntakuwepo, haiwezekeni simba iwe ya 13 sisi 74, timu ya kafu wanachagua wachezaji wa simba tu, mchezaji bora wa kafu wanashindanishwa simba tu, kundi anaongoza simba tu, simba wanapendelewa sana hata kombe mwaka huu wanataka watunyang'anye hii haikubaliki. Napata uchungu hakyamungu iiìiiìiiiiiìi
Sina mbavu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom