Miaka mitano unachukua kombe mpaka point za mezani !sisi tulikua kimyaaaaaa ukienda kimataifa ulikua unabutua butua tu mpira unatolewa chaliiiiiii .Leo SIMBA inafanya vizuri mnaaanza kuleta story km malaya alie achwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulieni dawa iwaingie.Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.