Maandamano ya Dar Young African (Yanga Yakanusha)

Maandamano ya Dar Young African (Yanga Yakanusha)

Status
Not open for further replies.
Ila hii timu bana
1. Wameshindwa kudhibitisha makosa ya mkataba wa bm3
2.Wameshindwa kudhibitisha kuonewa na tff
3. Wameshindwa kujitoa kwenye ligi mana wanaonewa
4. Tff caf cas na fifa kote huko simba wamehonga
5. Wameshindwa jenga timu mbovu

Ila madai yao wana weza zibitisha kwa maandamano ni maajabu[emoji196][emoji196]
 
Wakimaliza kuandamana Tanzania waende Kuandamana CAF na FIFA kwani huko Simba nako inapendelewa na Yanga inanyanyaswa.

  • CAS hawakuisikiliza kesi ya Morrison dhidi ya Simba.
  • CAF hawakuisikiliza kesi ya Al Merrikh dhidi ya Simba.
  • CAF imewaruhusu Simba kuingiza Mashabiki 10,000 uwanjani dhidi ya AS VITA.
 
Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.
Miaka mitano unachukua kombe mpaka point za mezani !sisi tulikua kimyaaaaaa ukienda kimataifa ulikua unabutua butua tu mpira unatolewa chaliiiiiii .Leo SIMBA inafanya vizuri mnaaanza kuleta story km malaya alie achwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulieni dawa iwaingie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom