Maandamano ya Kenya msingi wake ni ukabila na uroho wa madaraka wa Gachagua, vijana wanatumika tu, za kuambiwa!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
 
Finance bill iko sw kwa wakenya kwa wakati huu??
Asante.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
I conquer with you. Akili mkichwa kwa wanachagadema
 
Acha bangi bro! Usijivue nguo hadharani, vijana wanaandamana nchi nzima, si kutoka ukikuyuni tu,
Hiyo financial bill umeisoma? Vijana wa, Kenya, sio mazwazwa, kama uvccm,na vijana wa, bongo, wanaowaza macho matatu na ngono,
Fuatilia mahojiano citizen tv,
 
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!.

Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa kutetea wakikuyu(watu wa mlima) akihitaji wapate zaidi katika mgawo wa raslimali dhidi ya makabila mengine.

Pia, maandamano hayo yameandaliwa na wakikuyu, lakini wajaluo wa Raila hawajaandamana. Si maandamano ya kitaifa. Ni jitihada za Naibu Rais kuonyesha kwamba bado ana nguvu, na Rutto asimdharau.

Tuangalie picha ya ndani ya maandamano, hao waandamanaji ni kama jini makata au subiani, wanatumwa, na wanatumika kutimiza ajenda ya ukabila na wako katika rescue mission ya Naibu Rais.

Katika siasa, hakuna tukio la bahati mbaya, all are staged and scriptured
Wewe ndo unatumika. Rudi shule Tena Kwan Bado hujaelimika
 
Hakuna Cha ukabila Wala Nini .sababu ni kuongeza Kodi za kijinga kijinga kama zinavyoongezwa tz.wakenya ni wazalendo sana na hawataki kuburuzwa kama wanavyoburuzwa wtz na bunge lao kibogoyo.aluta continua kenya
 
Huyo mwana kijani aliyekunywa maji ya bendera hapo anajaribu kutuliza hali ili watanzania tusiige
Mimi chadema mkuu, hiki chama kina jasho langu, damu yangu, na fedha zangu, yaani kama Mchungaji Msigwa, sitaondoka kirahisi kama mnavyodhani
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
ALIYE ANDIKA HII MADA ATAKUWA NA MATATIZO YA KIAKILI!

WAKENYA HAWANA AKILI KAMA ZA UKOO WENU MATAHIRA,WAKENYA WAMESOMA NA WANA AKILI TIMAMU!

MADA YAKO HII INAONYESHA NAMNA ULIVYO MPUMBAVU WEWE,KIZAZI CHENU NA KIZAZI CHAKO PIA!
 
Back
Top Bottom