Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

Maandamano ya Kenya: UN na mataifa makubwa yalaani mauwaji ya waandamanaji

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.

Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya nguvu kupambana na waandamanaji.

Afrika mtaumizana nyie kwa nyie hadi lini?

IMG_6530.jpeg
 
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu.
Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.
Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, serikali kama kawaida ya serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya nguvu kupambana na waandamanaji.

Afrika mtaumizana nyie kwa nyie hadi lini?
View attachment 3026634

Hii Dunia, binadamu wote wangekuwa Waafrika, sijui ingekuwaje!!
 
Hv sio ruto alialikwa us na kukaribishwa mpaka oval ofice na kukalia kiti cha sleepy joe (ambapo nina uhakika kilibadalishwa na joe hakukikalia tena) na joe akasema kenya ni mshirika wake muhimu ea? sasa inakuweje tena wanataka kumbadilikia mshirika wao?
 
Hao marekani ni wanafiki ,
Mbona waliwapiga wanafunzi walioandamna ili Kuzuia vita vya Israel na wapalestina ?
Iyo demokrasia inatakiwa Africa peke yake ?
 
Hao wote ni wanafiki. U.N, Marekani, Waingereza...... Wanaojidai wana linda na kutetea haki za Binadamu huku Afrika wakati nchini mwao haki za hao Waafrika za Kibinadamu zinanajisiwa.

=======
Ni wanafiki.
 
Hv sio ruto alialikwa us na kukaribishwa mpaka oval ofice na kukalia kiti cha sleepy joe (ambapo nina uhakika kilibadalishwa na joe hakukikalia tena) na joe akasema kenya ni mshirika wake muhimu ea? sasa inakuweje tena wanataka kumbadilikia mshirika wao?
Ndivyo walivyo, inamaana Kuna vitu alipoenda alivikataa...Hakuna Cha haki wala nini hao ndugu wamemwaga damu nyingi sana huku duniani
 
Hv sio ruto alialikwa us na kukaribishwa mpaka oval ofice na kukalia kiti cha sleepy joe (ambapo nina uhakika kilibadalishwa na joe hakukikalia tena) na joe akasema kenya ni mshirika wake muhimu ea? sasa inakuweje tena wanataka kumbadilikia mshirika wao?

Wapo sahihi US.
Unamkubali mtu kwa matendo yake, akienda kinyume na ethics, anaweza kugeuka na kuwa adui. Ni sawa uwe na jirani yako mnaelewana sana. Na kwa dhamira njema, kama jirani, ukawa na maelewano naye. Halafu itokee siku uibiwe, halafu ugundue ni huyo jirani yako ndiye alifanya mipango yote, ataendelea kuwa rafiki yako?
 
Hao marekani ni wanafiki ,
Mbona waliwapiga wanafunzi walioandamna ili Kuzuia vita vya Israel na wapalestina ?
Iyo demokrasia inatakiwa Africa peke yake ?

Hawakumwua hata mwanafunzi mmoja. Kenya Ruto ameua watu zaidi ya 13.
 
Back
Top Bottom