Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu.
Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.
Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, serikali kama kawaida ya serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya nguvu kupambana na waandamanaji.
Afrika mtaumizana nyie kwa nyie hadi lini?
View attachment 3026634
maisha yangekuwa ni movie ya kivitaHii Dunia, binadamu wote wangekuwa Waafrika, sijui ingekuwaje!!
Ndivyo walivyo, inamaana Kuna vitu alipoenda alivikataa...Hakuna Cha haki wala nini hao ndugu wamemwaga damu nyingi sana huku dunianiHv sio ruto alialikwa us na kukaribishwa mpaka oval ofice na kukalia kiti cha sleepy joe (ambapo nina uhakika kilibadalishwa na joe hakukikalia tena) na joe akasema kenya ni mshirika wake muhimu ea? sasa inakuweje tena wanataka kumbadilikia mshirika wao?
Hv sio ruto alialikwa us na kukaribishwa mpaka oval ofice na kukalia kiti cha sleepy joe (ambapo nina uhakika kilibadalishwa na joe hakukikalia tena) na joe akasema kenya ni mshirika wake muhimu ea? sasa inakuweje tena wanataka kumbadilikia mshirika wao?
Hao marekani ni wanafiki ,
Mbona waliwapiga wanafunzi walioandamna ili Kuzuia vita vya Israel na wapalestina ?
Iyo demokrasia inatakiwa Africa peke yake ?
Mtu mweusi ni shida sana!Hii Dunia, binadamu wote wangekuwa Waafrika, sijui ingekuwaje!!
Dunia ingekuwa kama jehanamuHii Dunia, binadamu wote wangekuwa Waafrika, sijui ingekuwaje!!