PostGE2025 Maandamano ya kimya na changamoto kwa serikali: Samia na genge lake la wahuni wanatakiwa kujiuzulu

PostGE2025 Maandamano ya kimya na changamoto kwa serikali: Samia na genge lake la wahuni wanatakiwa kujiuzulu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Madai ya Rais aachie madaraka halitawezekana kamwe
Uko sahihi, lakini atajua hatakiwi na yuko madarakani kwa uchaguzi uliojaa udanganyifu. Kibaya zaidi mi madhara yatakayokipata chama chake huko mbeleni.

Ifahamike kuwa mbinu chafu zilizowapatia ccm ushindi kwenye chaguzi za 2019/20 na 2024/25 hazitawezekana tena. Itabidi ccm sasa ishindane kwa haki, na hapo ndio uhalisia wa ushawishi, na uwezo wa ccm utakaa wazi. Kwa bahati mbaya sana kizazi hiki si cha ccm. Uwezekano wa machafuko makubwa huko mbeleni sasa ni mkubwa sana kuliko huko nyuma.
 
sikukuu za uhuru tumekuwa tukisherekea kwa miaka yote 63 na shughuli za kijamii zilikuwa zinaendelea kama kawaida. Mpumbavu tu ndio ataona kuwa leo wamefanikiwa ila this is just a beginning kesho wafungieni watu tena
tushazoea pumba zenu
 
Back
Top Bottom