Maandamano ya kumpiga Trump yanazidi kusambaa Marekani

Maandamano ya kumpiga Trump yanazidi kusambaa Marekani

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe.

Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani.
================

This is not Syria, Iraq, or Yemen... this is Los Angeles under the rule of America itself.

The destruction, chaos and anarchy they sowed in the world began to consume them from within.


View: https://x.com/mog_russ/status/1932128086784365022?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Los Angeles? Si California huko? Hao ni Democrats pure! Haitegemewi support kwa revivalist Trump!
 
Huyu kichaa sioni akimaliza miaka 4 yake...na hata ikitokea bahati hawezi kurudi tena ikulu...
Racist fascist....chuki na roho mbaya ..Yale majimbo ambayo alishindwa uchaguzi haswa ya democrats anayalipizia kisasi
 
Wakat wa uchaguz taifa la marekani ni kama liligawanyika vipande viwili, tofaut ya kura 2.2M , Sasa huyu mwehu ndio anazidi kuligawa, alipaswa aiunganishe nchi ..sioni akimaliza
 
hayo ni maandamano ya wahamiaji haramu wanaokataa kuridishwa nchi zao

Wamarekani wapo na Trump wanataka wahamiaji haramu waondoshwe

hata wamarekani weusi wamekataa kushiriki hayo maandamano

Biden aliiharibu sana Marekani kwa kuruhusu kiholela wahamiaji kuingia

1749677235946.png
 
Huyu kichaa sioni akimaliza miaka 4 yake...na hata ikitokea bahati hawezi kurudi tena ikulu...
Racist fascist....chuki na roho mbaya ..Yale majimbo ambayo alishindwa uchaguzi haswa ya democrats anayalipizia kisasi
Arudi ikulu tena kufanya nini !? Wakati hii ni awamu yake ya pili na katiba yao ya nchi hairuhusu rahisi kutawala miaka zaidi ya 8 !?
 
Kwa wengi Marekani ni peponi hivyo ndio maana wazamiaji piga ua hawataki kurejeshwa makwao ni sawa na kumtoa mtu peponi na kumpeleka motoni.
 
Back
Top Bottom