Kwani Democratic ni Waburundi?Los Angeles? Si California huko? Hao ni Democrats pure! Haitegemewi support kwa revivalist Trump!
Arudi ikulu tena kufanya nini !? Wakati hii ni awamu yake ya pili na katiba yao ya nchi hairuhusu rahisi kutawala miaka zaidi ya 8 !?Huyu kichaa sioni akimaliza miaka 4 yake...na hata ikitokea bahati hawezi kurudi tena ikulu...
Racist fascist....chuki na roho mbaya ..Yale majimbo ambayo alishindwa uchaguzi haswa ya democrats anayalipizia kisasi